Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Muwamba ngoma yuko huko?Huku Zanzibar ni mterezo tuuu!
Barabara zote ulizozitaja zilianza kuharibika kabla hata hazijamalizika kujengwa, ni moja ya kandarasi za kitapeliMtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Serikali iko likizo?Barabara zote ulizozitaja zilianza kuharibika kabla hata hazijamalizika kujengwa, ni moja ya kandarasi za kitapeli
Weka Picha tukuamini ulichoongea pengine umeota usiku weka picha tuchambue mimi juzi nimepita uko safi Lindi to Dar..Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Weka Picha tukuamini ulichoongea pengine umeota usiku weka picha tuchambue mimi juzi nimepita uko safi Lindi to Dar..
Kwa kuwa wahuni wameshika hatamu,hadi pale tutakapolimia meno akili zitarejea kwenye mihimili yake.Alaaa!Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Kama hii ya kusini ni utani mtupu na ile ya mbagala - mbande - chanikaBarabara zote ulizozitaja zilianza kuharibika kabla hata hazijamalizika kujengwa, ni moja ya kandarasi za kitapeli
Tulia Mama Hanaaaa Denii wewe ni mwanaharakati wa Taifa.Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Tatizo kubwa ni 30% na hii sio TANROADS pekee ni kila organ ya serikaliMtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Barabara alizotaja zimefikia ukomo wa matumizi, baada ya kutiki tenda zitatangazwa kila kona kama matangazp ya dawa za sumu ya mende na panya ili kuzisuka upya barabara hizo. Barabara ya Mwanza Shinyanga ilijengwa enzi ya Mwinyi, Lindi pia.
Kwanza sio kweli na kama ni kweli basi elewa kwamba mtandao wa Barabara umeongezeka zaidi kuliko kuongezeka Kwa kasi hususani Barabara Mpya at expense of zile za zamani zinazohitaji maintenance.Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisaHuko kaskazibi hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Mwambie huyo hater atofautishe kutolipwa Kwa wakati na kutolipwa kabisa.