Mtandao wa barabara nchi nzima umeanza kuporomoka!

Mimi na wewe nani mpuuzi? Nimekupa sababu na kukwambia kabisa kwamba kazi zinaendelea japo Kuna kutolipwa Kwa wakati.

Pili ulitegemea Wabunge wakae kimya wakati ndio Wakandarasi wenyewe? Hao Wabunge wameanza kulalamikia Leo au miaka yote Huwa wanalalamika?
Fani za watu wenye skili, waachie wenyewe.
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Kuna takataka pale mahali naomba utulie kabisaaaa!
 
Fani za watu wenye skili, waachie wenyewe.
Kutoa taarifa kunahitaji skills gani? Kati ya Mimi na wewe nani Yuko kwenye Fani husika?
IMG_20250730_155902_914.jpg
IMG_20250627_110225_813.jpg
pm_1740131420063_cmp.jpg
 
Weka Picha tukuamini ulichoongea pengine umeota usiku weka picha tuchambue mimi juzi nimepita uko safi Lindi to Dar..

Utakuwa ulisafiri kwa ungo...

Hakuna barabara mbovu yenye mashimo kama Dar kwenda Mtwara...

IMG-20250719-WA0005.jpeg

IMG-20250719-WA0004.jpeg

IMG-20250719-WA0003.jpeg
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Ndivyo CCM inavyoporomoka hivyo.
 
Hiki kichaka kimeshaungua fanyeni kazi acheni wizi. Mkiambiwa muqche kuteka watu utetezi wenu alianzisha Magufuli, kafa miaka minne iliopita bado tu mnajitetea Magufuli Magufuli!
So hilo shetani lenu la Chato liliwahi kujenga barabara ya kuunganisha mkoa wowote!?
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.

Siku nyingine watakuparua usoni...wanasema tuunge mkono juhudi hata kama hazionekani.
 
Wamegawa vyombo vya moto na baridi nchi nzima barabara mtatafuta wenyewe.Kama aitel tu wanakupa mb nyingi mtandao, network utajua kwa kuipata.
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.

Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Lakini mitano tena naona kizungu zungu
 
Mkuu kwa miaka miwili sasa tunaambiwa kodi zimekusanywa kupita viwango vya nyuma, halafu tunaidai serikali kinoma, bila mafanikio.

Barabara ofcuz ni tatizo aisee sa hii ni wanakula pesa za walipa kodi na hawana chakuhofia
 
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.

Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.

Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbovu kabisa.
Somanga pale, matengenezo kila miezi sita mvua na mito ikikata barabara.

Huko kaskazi hakuna uafdhali.

Kazi nzuri iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Kahama Mwanza...inaniuma sana sana...sababu mimi ni mmoja wa wajenzi nikiwa na Grinaker LTA kampuni ya Africa kusini 2004 to 2006...Nina kumbukumbu nzuri sana sababu ni lami ya kwanza kipande cha Isaka...Tinde....Maganzo....na maisha yalikuwa ni matamu balaa...Camp ilikuwa Tinde.....sweet memories......ingawa kuna majonzi wengi tuliokuwa nao weshatangulia mbele ya....
 
Back
Top Bottom