Mtandao wa barabara nchi nzima umeanza kuporomoka!

Mitano mingine nchi inakwenda kuangamia maana majizi yanakwiba usiku na mchana bila ya hofu.
 
Lusahunga ~Ngara ~Rusumo
Barabara Imefumuliwa Halafu Mkandarasi Hayupo Site
 
Mama hana deni na sisi??

Kauli za kipuuzi sana hizi, barabara nyingi ziko hoi kwa mashimo na viraka.

Kuna barabara ina imeharibika kwa mashimo kama kutoka Singida kwenda Babati??
 
Hizo barabara za kuunganisha mikoa alizijenga JK. Tatizo alipoingia Ngosha kwa miaka yote sita hakushughulika nazo
 
Ukiwa chawa katika sehemu inayohitaji akili na ukweli haipendezi.
Hata wabunge wamelalamika rasmi makandarasi kutolipwa, sasa unatokea kilaza na mapicha.
 
Umeshawahi kupita hii barabara ya ya kutoka mwanza mpaka LAMADI unaweza kutoa chozi yaani lami imeisha kabsa
 
Ukiwa chawa katika sehemu inayohitaji ukweli haipendezi.
Hata wabunge wamelalamika rasmi makandarasi kutolipwa, sasa unatokea kilaza na mapicha.
Mimi na wewe nani mpuuzi? Nimekupa sababu na kukwambia kabisa kwamba kazi zinaendelea japo Kuna kutolipwa Kwa wakati.

Pili ulitegemea Wabunge wakae kimya wakati ndio Wakandarasi wenyewe? Hao Wabunge wameanza kulalamikia Leo au miaka yote Huwa wanalalamika?
 
MAMA YAO NCHI IMEMSHINDA.BARABARA ZINAHARIBIKA KABLA YA KUKABIDHIWA KWA WANANCHI.
 
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.

 
Singida-dodoma siyo kweli,hata hivyo dodoma-singida-nzega-shinyanga-ni tangu 2005,kuchoka haishangazi, barabara zetu nyingi ni za 15 years
 
Hizo barabara za kuunganisha mikoa alizijenga JK. Tatizo alipoingia Ngosha kwa miaka yote sita hakushughulika nazo
Hiki kichaka kimeshaungua fanyeni kazi acheni wizi. Mkiambiwa muqche kuteka watu utetezi wenu alianzisha Magufuli, kafa miaka minne iliopita bado tu mnajitetea Magufuli Magufuli!
 
Reactions: Lax
Singida-dodoma siyo kweli,hata hivyo dodoma-singida-nzega-shinyanga-ni tangu 2005,kuchoka haishangazi, barabara zetu nyingi ni za 15 years
Kwamba singida-dodoma ni lami grade ngapi? zile ni kokoto na picha nimeambatanisha na walikuwa wanavunja milima ninaifahamu maana napita sana huko mpaka leo yamebaki mashimo.
 
Kwamba singida-dodoma ni lami grade ngapi? zile ni kokoto na picha nimeambatanisha na walikuwa wanavunja milima ninaifahamu maana napita sana huko mpaka leo yamebaki mashimo.
Lami sharti iwe na kokoto alhabib,ni malighafi mojawapo,napita hiyo njia tangu ina vumbi,ikaanza kuwekwa lami,hiyo ni 2001
Hakuna lami isiyo na kokoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…