Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #41
Fani za watu wenye skili, waachie wenyewe.Mimi na wewe nani mpuuzi? Nimekupa sababu na kukwambia kabisa kwamba kazi zinaendelea japo Kuna kutolipwa Kwa wakati.
Pili ulitegemea Wabunge wakae kimya wakati ndio Wakandarasi wenyewe? Hao Wabunge wameanza kulalamikia Leo au miaka yote Huwa wanalalamika?
Umezoea kuongea na kutoa mdomoni vitu kama vile unavyoviacha maliwatoni.Mwambie huyo hater atofautishe kutolipwa Kwa wakati na kutolipwa kabisa.
Kazi zinaendelea site
View: https://www.instagram.com/reel/DNNnhB6szzS/?igsh=aXNlbHI0emQwaDJl
Kuna takataka pale mahali naomba utulie kabisaaaa!Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Watu wa aina hii akili zao ni kufanya uchawa ili wapate mkate wa kila siku ill vinyeo vyao vikaharishie masinki ya vyoo !Fani za watu wenye skili, waachie wenyewe.
Mada gani Sasa hapo wewe umeona inahitaji hata nukta ya uwezo wangu? Mbona unaonekana ni mzigo wa familia Yako?Umezoea kuongea na kutoa mdomoni vitu kama vile unavyoviacha maliwatoni.
Mada zilizo juu ya uwezo wako achana nazi.
Kutoa taarifa kunahitaji skills gani? Kati ya Mimi na wewe nani Yuko kwenye Fani husika?Fani za watu wenye skili, waachie wenyewe.
Zaidi ya kushika kamera ,kitu ambacho huhitaji akili sana, huna cha kuelezea.Kutoa taarifa kunahitaji skills gani? Kati ya Mimi na wewe nani Yuko kwenye Fani husika?
View attachment 3447299View attachment 3447302View attachment 3447303
Weka Picha tukuamini ulichoongea pengine umeota usiku weka picha tuchambue mimi juzi nimepita uko safi Lindi to Dar..
Wewe punguani Mimi Niko kwenye Fani hiyo ndio maana naongea Kwa facts sio kama pumba zenuZaidi ya kushika kamera ,kitu ambacho huhitaji akili sana, huna cha kuelezea.
Lazima unaishi chooni wewe.Wewe punguani Mimi Niko kwenye Fani hiyo ndio maana naongea Kwa facts sio kama pumba zenu
Ndivyo CCM inavyoporomoka hivyo.Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
So hilo shetani lenu la Chato liliwahi kujenga barabara ya kuunganisha mkoa wowote!?Hiki kichaka kimeshaungua fanyeni kazi acheni wizi. Mkiambiwa muqche kuteka watu utetezi wenu alianzisha Magufuli, kafa miaka minne iliopita bado tu mnajitetea Magufuli Magufuli!
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Mimi ni mwana CCM, lakini ukweli lazima usemwe ili kutatua matatizoSiku nyingine watakuparua usoni...wanasema tuunge mkono juhudi hata kama hazionekani.
Lakini mitano tena naona kizungu zunguMtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbobu kabisa.
Huko kaskazin77i hakuna uafdhali.
Kazo nzuti iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.
Road Fund, iliyokuwa inafadhili miradi ya barabara inaelekea imefilisika.
TANROADS wanalia hawana fedha, makandarasi hawalipwi.
Wizara ya Ujenzi kimya, haieleweki.
Sifa ya Tanzania kuwa na mtandao mzuri wa barabara imeanza kupotea.
Pengine mambo yabadilike, lakini Mitano Tena naona kizunguzungu.
Mkuu kwa miaka miwili sasa tunaambiwa kodi zimekusanywa kupita viwango vya nyuma, halafu tunaidai serikali kinoma, bila mafanikio.Lakini mitano tena naona kizungu zungu
Mkuu kwa miaka miwili sasa tunaambiwa kodi zimekusanywa kupita viwango vya nyuma, halafu tunaidai serikali kinoma, bila mafanikio.
Barabara ofcuz ni tatizo aisee sa hii ni wanakula pesa za walipa kodi na hawana chakuhofiaMkuu kwa miaka miwili sasa tunaambiwa kodi zimekusanywa kupita viwango vya nyuma, halafu tunaidai serikali kinoma, bila mafanikio.
Kahama Mwanza...inaniuma sana sana...sababu mimi ni mmoja wa wajenzi nikiwa na Grinaker LTA kampuni ya Africa kusini 2004 to 2006...Nina kumbukumbu nzuri sana sababu ni lami ya kwanza kipande cha Isaka...Tinde....Maganzo....na maisha yalikuwa ni matamu balaa...Camp ilikuwa Tinde.....sweet memories......ingawa kuna majonzi wengi tuliokuwa nao weshatangulia mbele ya....Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbovu kabisa.
Somanga pale, matengenezo kila miezi sita mvua na mito ikikata barabara.
Huko kaskazi hakuna uafdhali.
Kazi nzuri iloyofanyika na awamu zilizopita imeanza kudorora.