Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,653 Reaction score 31,010 Sep 17, 2025 Thread starter #61 abidemi said: Barabara ofcuz ni tatizo aisee sa hii ni wanakula pesa za walipa kodi na hawana chakuhofia Click to expand... Kuna tatizo? Waziri aliyepo anajiumauma tu.
abidemi said: Barabara ofcuz ni tatizo aisee sa hii ni wanakula pesa za walipa kodi na hawana chakuhofia Click to expand... Kuna tatizo? Waziri aliyepo anajiumauma tu.
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,396 Reaction score 3,444 Sep 17, 2025 #62 Hizo bara bara zikijengwa kwa usahihi watakosa Cha kuombea Kura huko mbeleni ukizi chunguza Sana campaign za viongozi wetu tangia Uhuru Basi utaskia vipau mbele vyao Ni afya,elimu na bara bara hivi havija wait kukauka kwenye vinywa vyao
Hizo bara bara zikijengwa kwa usahihi watakosa Cha kuombea Kura huko mbeleni ukizi chunguza Sana campaign za viongozi wetu tangia Uhuru Basi utaskia vipau mbele vyao Ni afya,elimu na bara bara hivi havija wait kukauka kwenye vinywa vyao
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,208 Reaction score 7,049 Feb 24, 2026 #63 Utalaamu huu wanaoweza kuusimamia na kuonyesha mafanikio ni Rwanda peke yake katika eneo hili la Africa mashariki na kati. 🤔 View: https://x.com/i/status/2026207255809384480
Utalaamu huu wanaoweza kuusimamia na kuonyesha mafanikio ni Rwanda peke yake katika eneo hili la Africa mashariki na kati. 🤔 View: https://x.com/i/status/2026207255809384480
Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Jul 31, 2026 #64 Kabisa