DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwani chrome ni Mtandao wa kijamiiBasi naona mitandao yote iliyoko chini ya Meta inasumbua, hata Instagram sasa hivi hapa imetoka kunigomea nikafikiri ni mtandao, nimerestart simu wapi wakati mitandao mingine kama Chrome, Youtube, JF na X nikiingia inakubali vizuri kabisa