Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Ndio maana nikakwambia kapimwe Akili braza, maana umeshindwa hata kupambanaua jambo dogo kama hili uenda ukawa na sonona, ukichaa au utindio wa ubongo kwa kimombo tunasema Cerebral Palsy
Tatizo la Facebook unakuja kulalamika Jamiiforums?
 
Ndiyo maana kunamuhubir mmoja alisema hizi bible tunazo ziifadhi kwenye mitandao na zile za asili kuziacha ovyo zitapotea kabisa na zile mnazotegemea kwenye mtandao nayo mitandao inafutika like now fb na instagram.Ni kweli angalia fb na insta imeyumba kidogo tu dunia inashake hii mitandao si yakuamini kwamba itakuepo muda wote wa maisha ya dunia
 
Back
Top Bottom