Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Tupo wengi sana mkuu,Bado kuna watu wanatumia facebook?
Inashangaza sana
Facebook ndo leading social media kwa watumiaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengi sana mkuu,Bado kuna watu wanatumia facebook?
Inashangaza sana
Ndio upo, na unaingiza hela kuliko nchi yakoHuo mtandao bado upo?
Inasikitisha sana mkuu kuna wanetu warugaruga bado wanatumia fbDuh, kuna watu bado wantumia facebook.
Jamii forum je ? Au nayo ya kishamba?Wako active X (twitter)
Daah! Mpaka hurumaTupo wengi sana mkuu,
Facebook ndo leading social media kwa watumiaji
Maskini mnashida sanaHuwa namdharau sana mtu anayetumia Facebook.
JF haina shidaJamii forum je ? Au nayo ya kishamba?
KabisaDaah! Mpaka huruma
Nataka nikuulize ww mitandao unatumia kufanya nn maana watz wengi ukiwemo ww bado ujajua matumiz ya mitandao yote haijalishi ni upi wenzako tunafanya biashara na tunapata pesa sasa ww kama unaangali picha na kutupia picha zako zakishamba ndiyo ujielew na kama ujajua Fb ndiyo mtandao unaongoza kwa followers wengi sasa inategemea ww unatumia kufanya nnKama unatumia fb wewe ni mshamba tu
Wewe mshamba tuWw ndiyo mshamba tunafanya biashara sana kama wewe unashangaa picha na kujitulia kila sasa asubuh ww ndiyo mbulula
Tatizo la Facebook unakuja kulalamika Jamiiforums?I repeat in English go check for mental health consultation, it is either you are suffering from Depression, Schizophrenia, Bipolar Mania au having Cerebral Palsy.... That kind of a question cannot be asked by a healthy person unless you have an altered mentality
Ndiyomaana kwa mwezi naingia mara 2 tujf imejaa viazi mbatata
Itakua una umri mdogo,hata huko Facebook hukufungua akaunti kwa jina lako halisi,ukitaka kuwapata wanao wa kitambo basi ni FacebookBado kuna watu wanatumia facebook?
Inashangaza sana
Dr unaniangusha kutumia fbNi kawaida Kwa maskini na malofa kujifariji, kama hili linakupa faraja Sawa.
Facebook ni moja kati ya platform kubwa hapa duniani inayotumika kufanya matangazo ya biashara, na result yake ni kubwa mno... Ukitaka kujua hilo anza na watu wa travel, tourism and hospitality... Kawaulize watakupa habari njema ya facebookBado uko Facebook?