Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

😂😁
20240305_192050.jpg
 
Baada ya kushindwa kufanya kazi kwa Takriban zaidi ya saa, sasa mitandao hii miwili ya FB na IG yarejea hewani
 
Kweli ndio maana yuko fb wenzake PhD holders tuko nao social media za maana sio fb
phd gani ulonayo hakuna msomi mweny akili timamu akazarau sehem ilomtoa ukiona huyu ujue hata utindio wa ubongo washamba kama nyie mkipata elfu kumi mnazarau buku na wanaongoz kwa kashifa za kipumbavu ni masikin wanaojiita masikini jeuli hakuna masikin jeur hapa dunian ni ujinga kama ulonao
 
Namzungumzia Dr Matola PhD

Wewe mshamba tu
 
Nyaya tatu tu zinazodaiwa kukatwa na Houth chini ya bahari nyekundu tayari kumeleta madhara kwa mawasilaiano ya intaneti duniani.

Miongoni mwa walioathiriwa na hali hiyo ni watumiaji wa mitando ya kijamii ya facebook na Instagram.

Watumiaji wa mitandao hiyo wameeleza kutoweza kukamilisha baadhi ya shughuli wanazozifanya kwenye mitandao hiyo na hatimae kupokea ujumbe za kasoro.

Facebook and Instagram down in apparent global outage

1709657360380.png
 
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login

Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Hata Instagram pia
 
Ila huu mtandao nimeshindwa kuuelewa na umenitia aibu Sana wiki hii, naambiwa tu na marafiki fb kinapicha za ajabu umezi tag,,, yaan nashindwa kuelewa huu mtandao
 
Back
Top Bottom