Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video ya dakika 1 na nusu YouTube hata kabla ya kufika nusu ya video mb zinakuwa zimeisha.
Ndo hivyo tena tuombe Mungu aingilie kati
Hili nilishawahi kuliona. Halotel ni wapigaji wazuri wa data. Nimetumia mitandao karibia yote isipokuwa TTCL ila Halotel hata ukiperuzi zinaisha fasta.Mimi natumia halotel muda wote na sijakutana na wizi wa kifurushi changu.
Ukionaje weka salio kwenye halopesa uwe unajinunulia vocha mbona jambo rahisi sana kuliko kulalamika kisa shl.100Vocha iliyoandikwa Shilingi 500 huku inauzwa shilingi 600, hilo limekaaje wakuu!?
Hiyo vocho ya mia 5 uliyonunua kwa mia 6 ukiweka, unapewa message ya hongera kwa kuingiza shilingi mia 5
Yaani kwa kweli nilichoka sana, nilivyoambiwa kwamba mabadiliko hayo ni effective kuanzia tarehe mosi Januari mwaka huu...
Hilo jambo lina ukweli au huku tunaibiwa!?
Sahihi kabisa.Hili nilishawahi kuliona. Halotel ni wapigaji wazuri wa data. Nimetumia mitandao karibia yote isipokuwa TTCL ila Halotel hata ukiperuzi zinaisha fasta.
Walikuwa wananipa 1gb kwa 2000 ila sasa mpk niliacha kununua na sijawahi kununua tena.
Ni hatua gani tuchukue? Unamfahamu waziri husika na majibu yake? ....wengine kuacha kutumia tushaacha lkn sio dawa.Sema nini wakuu, hili neno
"TUMUOMBE MUNGU AINGILIE KATI"
au
"TUMUOMBE MUNGU ATUSAIDIE"
linanichefua sana nafsi yangu.
Yaani linaonesha ni kwa jinsi gani sisi hatuwezi kuchukua hatua dhidi ya tatizo husika. Badala tuchukue hatua tunakimbilia "Tumuombe Mungu atusaidie.
Huo naona ni aina fulani ya UPUMBAVU
Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video ya dakika 1 na nusu YouTube hata kabla ya kufika nusu ya video mb zinakuwa zimeisha.
Ndo hivyo tena tuombe Mungu aingilie kati
Mimi natumia halotel muda wote na sijakutana na wizi wa kifurushi changu.
Sema nini wakuu, hili neno