Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

Mtoa mada na Waislamu wenzako kama mlitaka kuzaliwa mazumbukuku si mngesema.
 
Umesema Quran haina ukinzani wenyewe kwa wenyewe. Nakukumbusha kuwa, Quran inasema nguruwe ni haramu pia inaruhusu kula nguruwe ili usife njaa.
Sasa ukinzani uko wapi hapo ? Unadai Waislamu hatuna akili ajabu umethibitisha ya kuwa wewe ndiyo huna akili.

Katika Uislamu kuna mlango wa dharura, na dharura hukadiriwa kwa makadirio yake hii ni kaida katika masomo ya sheria za Uislamu na chimbuko lake ni katika Qur'an na Hadithi.

Nguruwe anakuwa halali katika mazingira ambayo hakuna chakula kwa muda huo au mahali hapo isipokuwa hapo, na muhusika awe ana njaa, kiasi ambacho asipo kula hupeleka njaa hiyo kuondoa uhai wake au kumdhuru, basi anatakiwa ale kwa masharti, ale huku akijua hicho ni haramu, ale kwa kiasi mbacho kinaweza kumfanya akasubiri kupata cha halali.

Sas ujinga wako ndiyo umekufanya ukaona vinapingana.

Qur'aan na Hadithi za Mtume hazipingani, ukiona hilo basi una moja kati ya mawili haya au una yote :

1. Elimu yako ndogo kuweza kujua maana husika.

2. Akili yako ndogo kuweza kung'amua jambo husika.

Sasa usijitie ujuaji kwa mambo usiyo yajua.
 
Sasa hao wanaobadili siyo Wakristo ? Unakataa nadharia huku unaipigia upatu nadharia ? Inakuwaje hata hukielewi ulichokiandika hata ukipewa miaka na mikaka hutaweza kukitetea.
Nimeandika nimemaliza sina muda wa kubishana na wewe.
 
Mtoa mada na Waislamu wenzako kama mlitaka kuzaliwa mazumbukuku si mngesema.
Mnacho nifurahisha Wakristo hamjengi hoja wala kukosoa mnarusha tu maneno kisha mnashika njia,yaani mnakuwa kama fisi mwenye njaa anapo muona Simba na kitoweo.

Wakristo kwenye suala la dini mlinyimwa maarifa na matumizi ya akili. Yaani mnapelekwa pelekwa sana, hamuhoji, hamuhakiki mambo. Huwa nawaambia kila siku, laiti kama mngekuwa mnahoji aisee, asingebaki hata mmoja katika Ukristo.
 
Ni vile hawajui kuarabu tuu.. kiarabu kungetafsiliwa watu wangekimbiana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walishinda kuufuta ukiristo kwa upanga, moto na magereza Leo ufutwe kwa porojo za kwenye keyboard???. Acha ndoto za mchana
 
1)Waislam wanafaidika na nini hapa dunia I ambacho wakristo au wapagani hawana?

2Au faida zake atakapokufa ni zipi ambazo mkristo au mpagani atazikosa?

Kwa faida ya wengi ninaomba uyajibu hayo maswali kwa ufasaha,kwa maelezo yanayokata kiu. Maelezo yanayokumbukika, hata baada ya wiki niyakumbuke crystal clear.
 
Kaa tu usuniri mwisho utakuja kushituka
Acheni ujinga basi! Mnamtafakari MUNGU as if mlishawah kukaa mbinguni. Yaan me naamini hata malaika bado hawajui ukomo wa ukuu wa mwenyezi MUNGU. Kwasababu MUNGU ni mtakatifu kupita enzi na enzi.

Halaf nyinyi Wafusi wa mtume mnajiooooona mmefiiiika. Kaeni kwa kutulia aseee mtafakar mambo kwa kina😁
 
Hii itafutiwe mnara ijengewe imekaa kwa uwazi na ukweli murua kabisa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Umewahi ku-search swali hilohilo kuhusu Ukristo au Buddhism?
Asilimia kubwa ya user wa Quora ni Wahindi
 
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Bro hii ni kwa faida yako....
. Yaani kimsingi kabisa waislamu wengi ni wavivu wa kutafakari na cha kushangaza namna ya kimapokeo ya kidini ni ile ile yaani naweza sema bora hata christians.

Mfano mtu akifa siyo mzinzi akifika peponi anapewa wanawake wazuri wengi yeye kazi yake inakuwa kunyunda tu[emoji16][emoji16]

Dah eti mbinguni kuna kundana[emoji23][emoji23] embu tueleweshane vizuri hapi wananzengo[emoji16][emoji16]
 
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wao wanapaita Firdaus eti kuna pombe grade 1 na wanawake 70 kila mmoja,huwa najiuliza wanawake wao watapewa wanaume 70 pia au inakuwaje.
Jamaa ni wajinga zaidi ya Ng'ombe

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Based on that philosophy above, huoni kama Uislam ni upuuzi mtupu, au unasoma tu ila hufikirii? Ndiyo maana watu wengi tuliosoma tunaona kuwa waislam wengi wako shallow minded. Unakuta kitu cha kijinga kabisa ambacho hata motto anaweza waza kivyake mtu anakwenda kutafuta Qur'an ili akariri kiarab apate jibu ndiyo akutafsirie huku akipigiwa makofi. Kusoma raha sana, huwezi linganisha elimu ya shule inayomfanya mtu ajitambue na kuwa mwerevu na ile ya madrasat inayomrudisha mtu nyuma kimaendeleo na kuwa mnafiki.
 
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.

Thibitisha habari za kuwapo Mungu na roho si hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.

Thibitisha habari za kuwapo Mungu na roho si hadithi za kutungwa na watu tu.
Mkuu Kiranga hujasoma aya ya pili? Ngoja nikuwekee hapa:

Ni imani ya ukristo tu ambayo imejibu haya maswali katika namna ambayo inaushibisha mwili, nafsi na roho. Kila wakati watu wa imani zote wanapoletewa mafundisho ya ufalme wa mbinguni wanajua ndani ya nafsi zao kwamba ni kweli yenye uzima wa milele hata kama hawana uthibitisho wa kimazingira.
 
Sasa hapi ndiyo umetumia akili ? Kijana nikisema Wakristo mmenyimwa akili katika hili, huwezi kuwafananisha Waislamu na wasio kuwa Waislamu katika umakini wa mambo ya DINI, kufanya hivyo ni kujidanganya.

Sasa lishindikane hilo kwanini ? Wakati hayo ni malipo kwa walio fanya wema ? Kwani kufanya jimai ni jambo baya ? Hapo watu hawazini, hao mabikira 72 ni kwa ajili ya kustareheka nao, peponi hakuna kufanya ibada zaidi ya kumsabihi Allah na kufurabia tulichokipanda, huko ni kustarehe kwa kwenda mbele.

Sasa wapi umetumia akili katika hili kijana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…