Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukinzani uko wapi hapo ? Unadai Waislamu hatuna akili ajabu umethibitisha ya kuwa wewe ndiyo huna akili.Umesema Quran haina ukinzani wenyewe kwa wenyewe. Nakukumbusha kuwa, Quran inasema nguruwe ni haramu pia inaruhusu kula nguruwe ili usife njaa.
Nimeandika nimemaliza sina muda wa kubishana na wewe.Sasa hao wanaobadili siyo Wakristo ? Unakataa nadharia huku unaipigia upatu nadharia ? Inakuwaje hata hukielewi ulichokiandika hata ukipewa miaka na mikaka hutaweza kukitetea.
Mnacho nifurahisha Wakristo hamjengi hoja wala kukosoa mnarusha tu maneno kisha mnashika njia,yaani mnakuwa kama fisi mwenye njaa anapo muona Simba na kitoweo.Mtoa mada na Waislamu wenzako kama mlitaka kuzaliwa mazumbukuku si mngesema.
Hakuna wa kubishana na mtu ambaye si hajui anachokiandika wala kukitetea, hata tukupe miaka mia huwezi kutetea ulichokiandika.Nimeandika nimemaliza sina muda wa kubishana na wewe.
Ni vile hawajui kuarabu tuu.. kiarabu kungetafsiliwa watu wangekimbiana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Ok.Hakuna wa kubishana na mtu ambaye si hajui anachokiandika wala kukitetea, hata tukupe miaka mia huwezi kutetea ulichokiandika.
Shukrani.
Acheni ujinga basi! Mnamtafakari MUNGU as if mlishawah kukaa mbinguni. Yaan me naamini hata malaika bado hawajui ukomo wa ukuu wa mwenyezi MUNGU. Kwasababu MUNGU ni mtakatifu kupita enzi na enzi.Kaa tu usuniri mwisho utakuja kushituka
Hii itafutiwe mnara ijengewe imekaa kwa uwazi na ukweli murua kabisa.Kimsingi imani nyingi zilizoanzishwa na wanadamu hapa duniani ziko straight and systematic. Zimetengenezwa kwa logic katika kujaribu kujibu maswali magumu kama chanzo cha uhai, kusudi la uhai, changamoto za hapa duniani na kinachotokea baada ya kifo. etc
Ni imani ya ukristo tu ambayo imejibu haya maswali katika namna ambayo inaushibisha mwili, nafsi na roho. Kila wakati watu wa imani zote wanapoletewa mafundisho ya ufalme wa mbinguni wanajua ndani ya nafsi zao kwamba ni kweli yenye uzima wa milele hata kama hawana uthibitisho wa kimazingira.
Baada ya hapo unabaki uamuzi wa mtu mwenyewe, afuate sauti ya Mungu katika roho yake au sauti ya logic katika akili yake. Lakini siku moja inakuja, asubuhi iliyo njema, mwokozi ataonekana katika anga na kuwachukua wale waliomwamini yeye. Ni heri leo ukiisikia sauti yake usiufanye moyo wako kuwa mgumu.
Bro hii ni kwa faida yako....Mnacho nifurahisha Wakristo hamjengi hoja wala kukosoa mnarusha tu maneno kisha mnashika njia,yaani mnakuwa kama fisi mwenye njaa anapo muona Simba na kitoweo.
Wakristo kwenye suala la dini mlinyimwa maarifa na matumizi ya akili. Yaani mnapelekwa pelekwa sana, hamuhoji, hamuhakiki mambo. Huwa nawaambia kila siku, laiti kama mngekuwa mnahoji aisee, asingebaki hata mmoja katika Ukristo.
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.Bro hii ni kwa faida yako....
. Yaani kimsingi kabisa waislamu wengi ni wavivu wa kutafakari na cha kushangaza namna ya kimapokeo ya kidini ni ile ile yaani naweza sema bora hata christians.
Mfano mtu akifa siyo mzinzi akifika peponi anapewa wanawake wazuri wengi yeye kazi yake inakuwa kunyunda tu[emoji16][emoji16]
Dah eti mbinguni kuna kundana[emoji23][emoji23] embu tueleweshane vizuri hapi wananzengo[emoji16][emoji16]
Based on that philosophy above, huoni kama Uislam ni upuuzi mtupu, au unasoma tu ila hufikirii? Ndiyo maana watu wengi tuliosoma tunaona kuwa waislam wengi wako shallow minded. Unakuta kitu cha kijinga kabisa ambacho hata motto anaweza waza kivyake mtu anakwenda kutafuta Qur'an ili akariri kiarab apate jibu ndiyo akutafsirie huku akipigiwa makofi. Kusoma raha sana, huwezi linganisha elimu ya shule inayomfanya mtu ajitambue na kuwa mwerevu na ile ya madrasat inayomrudisha mtu nyuma kimaendeleo na kuwa mnafiki.Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.Kimsingi imani nyingi zilizoanzishwa na wanadamu hapa duniani ziko straight and systematic. Zimetengenezwa kwa logic katika kujaribu kujibu maswali magumu kama chanzo cha uhai, kusudi la uhai, changamoto za hapa duniani na kinachotokea baada ya kifo. etc
Ni imani ya ukristo tu ambayo imejibu haya maswali katika namna ambayo inaushibisha mwili, nafsi na roho. Kila wakati watu wa imani zote wanapoletewa mafundisho ya ufalme wa mbinguni wanajua ndani ya nafsi zao kwamba ni kweli yenye uzima wa milele hata kama hawana uthibitisho wa kimazingira.
Baada ya hapo unabaki uamuzi wa mtu mwenyewe, afuate sauti ya Mungu katika roho yake au sauti ya logic katika akili yake. Lakini siku moja inakuja, asubuhi iliyo njema, mwokozi ataonekana katika anga na kuwachukua wale waliomwamini yeye. Ni heri leo ukiisikia sauti yake usiufanye moyo wako kuwa mgumu.
Mkuu Kiranga hujasoma aya ya pili? Ngoja nikuwekee hapa:Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.
Thibitisha habari za kuwapo Mungu na roho si hadithi za kutungwa na watu tu.
Sasa hapi ndiyo umetumia akili ? Kijana nikisema Wakristo mmenyimwa akili katika hili, huwezi kuwafananisha Waislamu na wasio kuwa Waislamu katika umakini wa mambo ya DINI, kufanya hivyo ni kujidanganya.Bro hii ni kwa faida yako....