Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

Kuna mwalimu wa madrasa amefanya yake huko Arusha kwa watoto anaowafundisha
 
Walishinda kuufuta ukiristo kwa upanga, moto na magereza Leo ufutwe kwa porojo za kwenye keyboard???. Acha ndoto za mchana
Kijana watu hawashughuliki na Ukristo sababu hauna athari angalia leo katika dunia hii, Uislamu ndiyo unapigwa vita kwa namna yoyote kuanzia propaganda na mfano wa hayo. Sababu Uislamu umekamilika na una misingi imara, Ukristo na Uyahudi watu hawashughuliki nao sababu dini hizi mbili ziliasi mafundisho ya mitume tangu zamani.

Ukitaka kuamini hilo, leo hii angalia tu matumizi ya neno "Ugaidi" ukiangalia tamko hili maana yake katika kamusi, haifungamani na dini, na matendo ya magaidi hufanywa na waislamu na waislamu na wasio kuwa waislamu, lakini ukiangalia na kusoma katika vyombo vya habari tamko hili huwagusa Waislamu tu.

Shida yenu ni ile ile hamsomi mambo na kuyachunguza.
 
Usisahau kwenda msikitini leo kupulizwa hapo nyuma kwako na shetani.
 
Soma kwa umakini kisha leta hoja
 
Usiwe na wasiwasi kaka huo mtandao haushawishi chochote sema pia uhuru wa kuabudu umeongezeka sana. Waislam walikuwepo lakn hawakua na nafasi huru ya kuabudu kama nyakati hizi
Kapitie Takwimu za mtandao huo hivi sasa katika utajionea
 
Unataka kumaanisha nini ndugu?
 
Kwa hiyo na wewe unajitahidi kuwabadili? Unaleta mada ukijifanya una- quote quora. Acha udini mkubwa, focus kwenye maendeleo. Karibu Tabora tuzungumzie maendeleo kwenye ziara ya Mhe. Mama yetu.
 
Ni Wachache watakaoingia Mbinguni. Njia ni Nyembamba nayo imesonga. Wacha wapite Mlango Mpana tutakutana Stejin hukumuni. Kwa maana hakuna Jina lingine Duniani, walilopewa Wanadamu litupasalo Sisi kuokolewa nalo Isipokuwa Yesu Kristo.
 
Sana akili za ajabu sana kama Muddy tu. Ngoja tusubiri baada ya zoezi la sensa kukamilika waje watambe hapa kuwa Waislam ni wengi kuliko Wakristo.

Elimu Elimu Elimu
 
Huo uislamu wenyewe ulianzishwa na mapadre wa jesuit.
Iweje sasa uislamu utaweza iteka Ulaya.
 
God how can someone be this dumb and still breath?
 
Ww bwana umesoma nini mbona unaandika huku unatetemeka??

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo hawanaga issue kuzuia mtu kusali, ila nenda kafungue kanisa Zanzibar au Qatar uone. Kama waislam wanajiamini si watoe uhuru kama waupatao maeneo yenye wakristo wengi?
 
Huo ni udaku kama ulivyo udaku mwingine hapo hakuna sababu ya msingi.....eti mtandao ndo umpeleke mtu kwenye ugaidi daaahh...
 
Sasa haushawishi vipi wakati watu wanashawishika na kuchukua hatua ? Jaribu kutulia uje na hoja na ithibati za kutilia nguvu maoni yako.
Mwisho WA siku Muhammad kasema

Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
 
Hao wakristo wanaoslimu wengi wao ni wanaume wazinzi. Wanatamani ile ahadi ya bikira 72 akhera kutoka kwa mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…