Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana watu hawashughuliki na Ukristo sababu hauna athari angalia leo katika dunia hii, Uislamu ndiyo unapigwa vita kwa namna yoyote kuanzia propaganda na mfano wa hayo. Sababu Uislamu umekamilika na una misingi imara, Ukristo na Uyahudi watu hawashughuliki nao sababu dini hizi mbili ziliasi mafundisho ya mitume tangu zamani.Walishinda kuufuta ukiristo kwa upanga, moto na magereza Leo ufutwe kwa porojo za kwenye keyboard???. Acha ndoto za mchana
Usisahau kwenda msikitini leo kupulizwa hapo nyuma kwako na shetani.Sasa ukinzani uko wapi hapo ? Unadai Waislamu hatuna akili ajabu umethibitisha ya kuwa wewe ndiyo huna akili.
Katika Uislamu kuna mlango wa dharura, na dharura hukadiriwa kwa makadirio yake hii ni kaida katika masomo ya sheria za Uislamu na chimbuko lake ni katika Qur'an na Hadithi.
Nguruwe anakuwa halali katika mazingira ambayo hakuna chakula kwa muda huo au mahali hapo isipokuwa hapo, na muhusika awe ana njaa, kiasi ambacho asipo kula hupeleka njaa hiyo kuondoa uhai wake au kumdhuru, basi anatakiwa ale kwa masharti, ale huku akijua hicho ni haramu, ale kwa kiasi mbacho kinaweza kumfanya akasubiri kupata cha halali.
Sas ujinga wako ndiyo umekufanya ukaona vinapingana.
Qur'aan na Hadithi za Mtume hazipingani, ukiona hilo basi una moja kati ya mawili haya au una yote :
1. Elimu yako ndogo kuweza kujua maana husika.
2. Akili yako ndogo kuweza kung'amua jambo husika.
Sasa usijitie ujuaji kwa mambo usiyo yajua.
Poa.Usisahau kwenda msikitini leo kupulizwa hapo nyuma kwako na shetani.
Soma kwa umakini kisha leta hojaNasikitika sana, una uwezo mdogo sana wa kuelewa, hayo majibu hayatishelezi mtu kubadili dini kaka, zipo sababu mbali mbali za binadamu kubadili dini moja kwenda nyingine, ila usilojua ni kwamba wahamiaji wengi wa ulaya ni kutoka nchi zenye asili ya kiarabu ambao ndo wanaongeza population siku hadi siku ilhali wazawaza wana kasi ndogo ya kuongezeka, na ndio mana leo Ufaransa, ujeruman na nchi nyingine idadi ya watu inqongezwa na wahamiaji ambao wengi ni waislam.
Kapitie Takwimu za mtandao huo hivi sasa katika utajioneaUsiwe na wasiwasi kaka huo mtandao haushawishi chochote sema pia uhuru wa kuabudu umeongezeka sana. Waislam walikuwepo lakn hawakua na nafasi huru ya kuabudu kama nyakati hizi
Unataka kumaanisha nini ndugu?Ningekuelewa ungesema Elimu imechangia kuenea kwa Uislam Ulaya. Kazi nyingi za ujuzi kuanzia Udaktari, Uhandisi na IT zimeshikiliwa na wahamiaji kutoka Egypt, Syria, Iran na hata Pakistani.
Hawa wanalipwa mishahara kutokana na ujuzi wao na ni washika dini haswa. Wakiamua kuweka 10% ya mshahara mwaka mmoja tu katika unoja wao wamenunua jengo lolote na kuligeuza msikiti.
Kwa hiyo na wewe unajitahidi kuwabadili? Unaleta mada ukijifanya una- quote quora. Acha udini mkubwa, focus kwenye maendeleo. Karibu Tabora tuzungumzie maendeleo kwenye ziara ya Mhe. Mama yetu.Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Ni Wachache watakaoingia Mbinguni. Njia ni Nyembamba nayo imesonga. Wacha wapite Mlango Mpana tutakutana Stejin hukumuni. Kwa maana hakuna Jina lingine Duniani, walilopewa Wanadamu litupasalo Sisi kuokolewa nalo Isipokuwa Yesu Kristo.Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Hili ndio jibu sahihiUsiwe na wasiwasi kaka huo mtandao haushawishi chochote sema pia uhuru wa kuabudu umeongezeka sana. Waislam walikuwepo lakn hawakua na nafasi huru ya kuabudu kama nyakati hizi
Sana akili za ajabu sana kama Muddy tu. Ngoja tusubiri baada ya zoezi la sensa kukamilika waje watambe hapa kuwa Waislam ni wengi kuliko Wakristo.Mwanzoni Wakati naona nyuzi za namna hizi nilipotezea tu ila sasa mnakela muno. Kila sehemu mumekazana na nadharia hii ambayo hata kwa 20% haijafikia.
Alafu siku hizi nyuzi za hivi JF ndiyo zimetamalaki. Hakuna Mkristo anayeweza kubadili dini kwa ushawishi wa hivi.
God how can someone be this dumb and still breath?Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Ww bwana umesoma nini mbona unaandika huku unatetemeka??Based on that philosophy above, huoni kama Uislam ni upuuzi mtupu, au unasoma tu ila hufikirii? Ndiyo maana watu wengi tuliosoma tunaona kuwa waislam wengi wako shallow minded. Unakuta kitu cha kijinga kabisa ambacho hata motto anaweza waza kivyake mtu anakwenda kutafuta Qur'an ili akariri kiarab apate jibu ndiyo akutafsirie huku akipigiwa makofi. Kusoma raha sana, huwezi linganisha elimu ya shule inayomfanya mtu ajitambue na kuwa mwerevu na ile ya madrasat inayomrudisha mtu nyuma kimaendeleo na kuwa mnafiki.
Huo ni udaku kama ulivyo udaku mwingine hapo hakuna sababu ya msingi.....eti mtandao ndo umpeleke mtu kwenye ugaidi daaahh...Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani,
Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain View, California. Ilianzishwa miaka ya 2010. Watumiaji wa mtandao huu wanaweza kushirikiana kwa kuhariri maswali na kutoa maoni kuhusu majibu ambayo yamewasilishwa na watumiaji wengine. Waislamu wa magharibi wametumia mtandao huu kuusambaza sana uislamu kwa kutoa majibu yanayo kinahisha nafsi za wengi.
Miongoni mwa maswali na majibu kutoka Quora.
SWALI
Je, ni sababu gani ya kawaida inayopeleka Wakristo wengi kubadili dini na kuwa waislamu kutoka Ukristo?
MAJIBU NI KWAMBA
-Uislamu unajibu maswali yote kwa uwazi, kila kitu katika uislamu kina sababu ya kimantiki.
- Uislamu unajibu maswali yote kuhusu yanayoonekana na yasiyoonekana.
- Qur'an haina ukinzani hata mmoja, tofauti na maandiko mengine.
- Kutamalaki kwa amani, utulivu na furaha ya ndani.
- Haki : utawajibika kwa dhambi zako mwenyewe, hakuna mtu anayeweza kuhesabiwa kwa dhambi za mwingine.
- Madhambi yote yamesamehewa, isipokuwa shirki. Anayesamehe dhambi ni MUNGU na wala sio nabii wala Mwanaadamu
- Hulinda wanawake na kuwaunga mkono na kuwanyanyua na kuwaheshimisha
- Katika uislamu Amri zote za Mwenyezi Mungu, ni kwa manufaa ya mwanadamu.
- Muumba, ni wa kipekee, anajitosheleza, ni mmoja na mkamilifu, Hana sifa za kiume wala za kike, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana mfano na kitu chochote kile.
- Katika uislamu Hakuna wapatanishi au watangulizi, kati yako na Muumba wako, wakati wowote unapomhitaji Muumba wako, unaweza kuwasiliana Naye, Tofauti na dini zingine hadi ukaungame.
Nadhani haya ni baadhi ya mambo makuu, yaliyoathiri kusilimu kwa wazungu wengi kuacha ukristo na kuingia uislamu.
View attachment 2230031
Mwisho WA siku Muhammad kasemaSasa haushawishi vipi wakati watu wanashawishika na kuchukua hatua ? Jaribu kutulia uje na hoja na ithibati za kutilia nguvu maoni yako.