Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
1000003556.png

Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga

Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X

Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social network) yenye faida kwa Watanzania

JamiiForums
Facebook
Instagram
X
WhatsApp
TikTok

Na (social media)
YouTube
 
Ninachojua ukiona mtandao hauna Watanzania wengi ujue unaingiza hela sana.

Waulize hata Youtubers wabongo hela wanayolipwa na wale wa mataifa mengine utagundua tofauti.
 
Ndugu Uko vizuri kwenye Business Analysis maana ushapiga hesabu zote wanapata hasara kiasi gani' na hauna faida ni upotefu wa Resources.
........
Ewe mtu wewe Uliwahi kuanzisha hata ki App kimoja?
Ndio mkuu nimeshakuwa na App pia nikaona mziki wake
 
Ninachojua ukiona mtandao hauna Watanzania wengi ujue unaingiza hela sana.

Waulize hata Youtubers wabongo hela wanayolipwa na wale wa mataifa mengine utagundua tofauti.
Kwa Threads sidhani, nikama wameangukia pua, Diamond Platnumz alikimbia akasema Threads ya ajabu sana hamna hata Inbox kaah na akapotea
 
Back
Top Bottom