Wana tabia siku hizi wanatumia meseji wanakutegeshea kuriplai. Ukiriplai tu, hata kwa kuandika "1" umeyakanyaga 😀Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo. Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha. Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.
Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.
Sasa niwaombe mtandao wa TIGO watueleze kuna nini, au tufunge line zao?
Hata @halotel wana ujanja wa kimama sana. Wanakula bando kama mchwaTigo wana ujinga ujinga mwingi sana
Niliwahi kukutana na hiyo kadhia pia, ukiwapigia customer care hawalitatui hilo tatizo kwakuwa ni income generation kwao, niligundua wanafanya mitego kwenye kujiunga vifurushi kwa mfano kama umezoea kujiunga na kifurushi fulani kwa kubonyeza namba basi kuna wakati wanapandikiza kitu kingine kwenye kile kifurushi unajikuta umekumbwa na hilo janga bila kujijuaNiliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.
Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.
Afadhali halotel hawa tigo ni mchwaHata @halotel wana ujanja wa kimama sana. Wanakula bando kama mchwa
Wa Kutegeshea kwenye reply. Sio poa yani hiyo reply Haina bonyeza moja kukukbali na mbili kukataa. Hiyo ukibonyeza hata reli ushakubali hiyoo.. mperamperaNiliwahi kukutana na hiyo kadhia pia, ukiwapigia customer care hawalitatui hilo tatizo kwakuwa ni income generation kwao, niligundua wanafanya mitego kwenye kujiunga vifurushi kwa mfano kama umezoea kujiunga na kifurushi fulani kwa kubonyeza namba basi kuna wakati wanapandikiza kitu kingine kwenye kile kifurushi unajikuta umekumbwa na hilo janga bila kujijua
Hivi Halotel ni tofauti na Tigo?Afadhali halotel hawa tigo ni mchwa
Unakuta reply namba 2 imehamishiwa 4 au 1 kwakuwa huwa hatusomi tunajibu kimazoea unajikuta umebonyeza chakaWa Kutegeshea kwenye reply. Sio poa yani hiyo reply Haina bonyeza moja kukukbali na mbili kukataa. Hiyo ukibonyeza hata reli ushakubali hiyoo.. mperampera
Wezi Sana hao jamaaWanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.
Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.
Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.
Sasa niwaombe mtandao wa TIGO watueleze kuna nini, au tufunge line zao?
Ni tofauti kampuni ambayo ipo na tigo ni zantelHivi Halotel ni tofauti na Tigo?
Si kitu kimoja hicho