Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu.

Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo ili query zisizidi kurundikana? Kwanini wanachukukia poa pesa ya mteja? Wanajua mtu anatuma yuko katika hali gani?

Je TCRA hawawwzi wasaidia watanzania katika hili?
 
Back
Top Bottom