Siku ya jana nilitoa fedha kwa wakala. Hapa nilipo huwa kuna mwendo kiasi hadi kufikia alipo wakala.
Sasa nina wakala ambaye huwa natoa fedha alafu namwagiza boda ananiletea mpunga wangu home nampa buku. Sasa jana nikafanya hivyo, kwanza mtandao ukawa haupo.
Nikamcheki jamaa baada ya muda akasema sasa hivi umekaa sawa unaweza kutoa. nikatoa kweli ikakubali. Ila haikuleta msg kwangu wala kwa wakala. Nikawa naangalia salio hela zimeenda. na nilikuwa na dharura nayo, ikabidi nifanye maarifa mengine kupata hela zingine.
Maana jamaa wakala ili anipe hela ilibidi walau nimwonyeshe msg iliyorudi kwangu. Ninavyoongea hadi muda huu wakala hajapata msg na mimi sijapata msg. Huu ni uhuni sana na kwa sasa nahama rasmi na mtandao wa tigo/Yas