Kimatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 286
- 271
Mtandao wa TMZ wa nchini Marekani umeripoti kwamba kiongozi dikteta wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amefariki dunia au yuko kwenye hali mbaya ambayo ni ngumu sana kupona baada ya operesheni yake ya moyo kutofanyika vizuri.
Wiki hii China ilituma timu yake ya wataalam wa afya kwenda kusaidia katika kuokoa maisha ya kiongozi huyo, mpwa wa waziri wa mambo ya nje wa China aliandika katika mtandao wake wa Weibo wenye wafuasi takribani million 15 taarifa za dikteta huyo kupoteza maisha.
Ripoti zinaonesha kwamba mnamo mwanzoni mwa mwezi huu wa April wakati Raisi huyo akifanya ziara yake nje ya mji ilitokea akawa amejishika kifua na kuanguka huku wasijue sababu ni nini, Alitakiwa kupewa huduma ya haraka sana lakini ripoti zinaonesha kwamba alicheleweshwa au docta aliyekuwa anamfanyia operesheni alikua na woga....kupelekea hali yake kuzorota zaidi