Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Status
Not open for further replies.
Hahaha dada hizi habari mgekuwa mnatuletea na source, tunaweza kuzimia kwa kudhani mpendwa wetu kafariki kumbe uongo.

Pia tunaweza kupuuza kumbe kweli.

Naamini wewe hauishi North Korea na Kim Jong Un siyo ndugu yako, kwamba hizo ni taarifa za kifamilia.

Tupe source ya hii taarifa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom