Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Mtandao wa TMZ Wadai: Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong Un Amefariki Dunia

Status
Not open for further replies.
Anaogopeka, inasemekana hata misimamo ya kim ushauri ni kutoka kwa huyu dada maana mwaka 2017 US ilimweka kwenye list ya wanaokiuka haki za binadamu,
Duh! Huyu akipewa hiyo nchi ipo siku atakuja kuangusha nuclear kwenye nchi ya watu.

Don't give up[emoji123]

Tomorrow is the new day [emoji120]
 
Mtoa mada ni mamruki....utaandikaje nyuzi yenye title eti amefariki wakat huna ushahidi
afu cha ajabu unakuja kusema et mara anaumwa...unatumiwa na mabeberu wewe
 
Hata akifa sawa tu maana hakuna atakaeishi milele,ila Korea haitobadili misimamo yake kirahisi rahisi maana kila Kim mmoja akitoka anakuja Kim mwingine.
 
Mtoa mada ni mamruki....utaandikaje nyuzi yenye title eti amefariki wakat huna ushahidi
afu cha ajabu unakuja kusema et mara anaumwa...unatumiwa na mabeberu wewe
Elewa ndo ureply mkuu....
 
Huyo dokta aliomfanyia upasuaji lazima nayeye ajiandae kumfata dogo kiduku kama lisemwalo la kweli
 
My be.
Ila me napenda vitimbi vyake tu kwa wananchi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom