Mtandao wa Yas na meseji za kero

Mtandao wa Yas na meseji za kero

1734797429239.png
 
Kila muda meseji za ovyo ovyo, Mara Yas majift,mara upuuzi wa marathon,mara sijui ujinga gani, ujinga ujinga tu muda wote!
Halafu Sasa hivi wanalamba MB kama hawana ajili,ukiwekadakika sifuri zmeisha,wanatuumiza sana
 
Back
Top Bottom