Mtandao wa Yas na meseji za kero

Mtandao wa Yas na meseji za kero

Sasa si bora tu wangemalizia YASINTA??
Dada YAS dadadeki mbele kwa mbele mtaisoma namba mwaka huu
 
Jaribu njia hii...
1.Bofya *147*00#
2.Chagua Namba 11((Language/Jihudumie)
3.Kisha chagua Namba 3(Dhibiti SMS/toa taarifa)
4.Chagua 1(Mapendeleo ya Sms)
5.Chagua 1(Zuia SMS),Alafu chagua 2 (Yas SmS)
Hapo utakuwa umemaliza
 
Back
Top Bottom