Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa Wanawake wote Wanaopenda Pesa kwa Wanaume kuwa kama wanapenda hizo Pesa basi wazichukue zote na 'Wazishindilie' huko Kunako ( Sehemu zao za Siri ) ili waone kama zitakidhi Haja zao za Kitandani na Kuwapunguzia Nyege zao ( Mihemko yao ) ya Kibaiolojia.

Aliyasema haya muda wa Saa 1 na dakika 53 leo Asubuhi ya tarehe 20 Machi, 2022 akiwa anawajibu Mtangazaji Pacha wake Farhia Middle na Mtangazaji Mgeni Mwalikwa Julieth Robert huku Mgeni mwingine Rubein nae akiwa anachagiza hapa na pale.

Abubakary Sadick kasema Ukweli mno.
 
Hebu tusikie maoni yao
Na ndiyo maana nimechokoza Mada Makusudi ili wakasirike ( wahemke ) waje Wajibu / Wamjibu na Sisi wengine tuendelee tu Kuwapandisha Mori waweze Kutema Nyongo zao. Nawasubiri kwa hamu kweli kweli Mkuu.
 
Hapa kazi ipo!Mwanaume lazima awepo kwa Mwanamke,haya mambo ya hela ni mbwembwe tuu,hawatoboi bila mwanaume!
 
Siwatetei ila kufanya mapenzi hakulipi kodi, hakununui nguo, hakununui chakula n.k

Asipotapa fedha akapata penzi tu ni tatizo, asipopata penzi akapata fedha tu nalo ni tatizo.
 
..Mada kuntu hii.
 
Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa Wanawake wote Wanaopenda Pesa kwa Wanaume kuwa kama wanapenda hizo Pesa basi wazichukue zote na 'Wazishindilie' huko Kunako ( Sehemu zao za Siri ) ili waone kama zitakidhi Haja zao za Kitandani na Kuwapunguzia Nyege zao ( Mihemko yao ) ya Kibaiolojia.

Aliyasema haya muda wa Saa 1 na dakika 53 leo Asubuhi ya tarehe 20 Machi, 2022 akiwa anawajibu Mtangazaji Pacha wake Farhia Middle na Mtangazaji Mgeni Mwalikwa Julieth Robert huku Mgeni mwingine Rubein nae akiwa anachagiza hapa na pale.

Abubakary Sadick kasema Ukweli mno.
Hivi mkuu huyu Dada Farhia Middle ameolewa?
 
Back
Top Bottom