Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

Amefanya nini?

Amelia kabisa na kujutia kwa masikitiko makubwa kabisa kwa kutompigia ' Kura ' yake Rais Magufuli mwaka jana na ' kukiri ' wazi wazi kuwa ' alirogwa ' na ' kupotoshwa ' na wimbi la safari ya matumaini ambayo sasa imebadilika ghafla na kuwa kuwa safari ya matumaini ya ' kugoma ' na ' kuandamana '.
 
aiseeee kweli vichaa wengi sana! hiyo tv umeangalia peke yako? amesema yeye anakiri hakumpigia kura asiwe muongo!

haya ukawa umejiongeza mwenyewe


1:4 twaweza wako sahihi kabisa
 

Iyo nchi itaendelea siku hao wafu watakapokufa kabisa maana mtaji wenu upo kwenye wasiojua hata duniani wanafanya nini
 

Kama usemayo ni kweli kwanin mnapigana na mtu mliyemfunga mikono then mnajinadi na ushindi!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz bado sana
 
aiseeee kweli vichaa wengi sana! hiyo tv umeangalia peke yako? amesema yeye anakiri hakumpigia kura asiwe muongo!

haya ukawa umejiongeza mwenyewe


1:4 twaweza wako sahihi kabisa

Wewe umeangalia hicho kipande kidogo tu Mkuu ila ' mzigo ' kamili ninao mwenyewe na kuna sehemu mpaka akawa ' analia ' machozi na kusema kwanini ule upepo mbaya wa safari ya matumaini wa mwaka jana ulimpitia na akasema kuwa labda ' alirogwa ' na kwamba sasa anaukubali kamili ' gado ' utendaji wa muda mfupi tu huu wa ' kutukuka ' wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…