Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

kejeli flani hivi...anachokisema anamaanish vice versa

Kumbe Kiswahili unakijua vizuri tu sasa ' Shobo ' zote zile kutuandikia kwa Kiingereza zilikuwa za nini? Haya malizia basi tutafsirie hapo katika neno ' vice versa ' kwani umeniacha tena sijakuelewa Mkuu!
 
Wewe na huyo mjinga mwenzako hamna lolote la maana, eti anajuta, kisa kaona wenzake wanaojipendekeza wanapewa ukuu wa wilaya na ukurugenzi.
Yaani hakuna chochote alichofanya Magufuli zaidi ya kuigeuza nchi kuwa Jehanamu, unadhani kuna Tajiri atakayeumia?
ni maskini wa ccm ndo wataumia maana wengi wapo vijijini na maisha yanawatesa ile mbaya.

Mbona ' unapovuka ' hivi Mkuu? Taratibu kwani huu mchezo hauhitaji hasira!
 
Njaa mbaya jamani!
Acha kujipendekeza kwa mwanaume mwenzie
Niseme tu kutojitambua nao ni wendawazimu.

Unajua mtu akikosa cha maana anabakia kusifia hata ujinga.
Mulize ccm imefanya nini??. Utasikia oooh aaaah, ila jibu la moja kwa moja hatatoa.
 
Yeya ni Mtangazi mahiri, machachari, mbunifu, mchapa kazi, mwerevu sana, mwenye mvuto na aliyeweza kukusanya kijiji cha Wasikilizaji wengi wa Redio hasa Vijana wanaochangia 65% ya Population ya nchi hii na anakubalika kunakotukuka si tu Tanzania bali hadi huko ' duniani '. Labda na Wewe pia unayehoji kuwa huyu Adam Mchomvu ni nani utuambie kuwa hivi na Wewe ni nani pia?
Anatangaza kipindi gani huyo mshikaji wako?
 
ukweli utabaki ukweli tu!!
magufuli anafanya kazi nzuri sana .
na anayoyafanya ndiyo yale badiliko halisi ambayo watanzania waliyahitaji..
huyu mtangazaji kafanya maamuzi sahihi yanayopaswa kuigwa na vijana.
ukiweka kando ushabiki wa siasa ni wazi rais anastahili pongezi
 
Unajua mtu akikosa cha maana anabakia kusifia hata ujinga.
Mulize ccm imefanya nini??. Utasikia oooh aaaah, ila jibu la moja kwa moja hatatoa.

mmmh!!hadi leo hujui kazi alizozfanya rais wetu!!?daaah upo Tz ip
 
Yeya ni Mtangazi mahiri, machachari, mbunifu, mchapa kazi, mwerevu sana, mwenye mvuto na aliyeweza kukusanya kijiji cha Wasikilizaji wengi wa Redio hasa Vijana wanaochangia 65% ya Population ya nchi hii na anakubalika kunakotukuka si tu Tanzania bali hadi huko ' duniani '. Labda na Wewe pia unayehoji kuwa huyu Adam Mchomvu ni nani utuambie kuwa hivi na Wewe ni nani pia?
Sawa sawa msemaji wao... Shasahau...kumbe anafanyia kile kituo cha..... Mk fm.... Kaendeleza utamaduni wao wa nitoke vipi.
 
Yeye kuwa au kutokuwa na Cheti au Taaluma ya Utangazaji kunahusiana nini na kusema ukweli wake na kuthubutu juu ya Uongozi madhubuti kabisa wa JPM? Acha ' wivu ' Mkuu na ni vyema hata Wewe sasa ukafikiria kurudi CCM kwetu huku kwani hakika CCM ya sasa ya Rais Magufuli ' imetakata ' na ' mwendo mdundo '.
Gentamycine hivi we mkuu wa wilaya wapi vile nikumbushe kidogo nimesahau
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ila angalau kajitambua na kuthubutu kusema ukweli na sasa mtabaki nyie tu ' mangumbaru ' msiojitambua. Hivi next strategy yenu CHADEMA ni ipi kwani naona zote kila mkizianzisha tu zinazimwa ' ghafla ' na ' utendaji ' wa ' kutukuka ' wa MWANAMUME Rais Dkt. Magufuli.
Kwani we mwanamke
 
mmmh!!hadi leo hujui kazi alizozfanya rais wetu!!?daaah upo Tz ip
IPTL....ESCROW.....NEW KATIBA.....LUGUMI.hizi bado pamoja na mahakama ya Fisadi...DARAJA LA KIGAMBONI....KAWATUMBUWA MAFISADI.....MACHINGA RUKSA BIASHARA BARABARANI...WAKUU WAPYA WA MIKOA NA WILAYA..... UWANJA DODOMA NA BONGE LA MSIKITI....NDEGE MBILI MPYA....etc etc.hizi tayari na zingine zaja.
 
Alimpigia Mh.Magufuri anatafuta kick tuu huyo ni ukizingatia akili ya kuzaliwa tee na shule hana kabisa amejitahidi sana kwa mtu aliekosa vyote hivyo japo kuwa hivyo alivyo.,
 
Hivi bado kuna wilaya hazijapangiwa wakuu wa wilaya au wakurugenzi!!?

Wale waliotumbuliwa Mwanza (RAS na mwenzake) nafikiri nafasi zao bado ziko wazi.... Any way, mambo mengine yanatoa picha halisi ya ule utafiti wa kila wa-TZ wanne mmoja ni MAJINUNI
 
Back
Top Bottom