Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

Sitashangaa nikimuona Adamu Mchovu kateuliwa kuwa mkuregenzi wa jiji la Arusha baada ya mkurugenzi wa awali kuingiana maungoni na Gambo bila aibu kwenye kikao cha halmashauri.
Cha Arusha atakuwa anavutia pale kwenye chocho la kikojola kwa ramsoo alafu anarudi ofisini.
 
kama ikitokea uchaguzi ukarudiwa kesho still sitamchagua huyo 'ngosha' wenu
 
Haihusiani na siasa ....!
Hivi mwenyekiti wenu ana cheti cha taaluma gani?
Kaulize wizarani huko ndipo wanatunza kumbukumbu na ndio kazi CCM walionayo toka nchi iwe chini ya chama hiki
 
Ila angalau kajitambua na kuthubutu kusema ukweli na sasa mtabaki nyie tu ' mangumbaru ' msiojitambua. Hivi next strategy yenu CHADEMA ni ipi kwani naona zote kila mkizianzisha tu zinazimwa ' ghafla ' na ' utendaji ' wa ' kutukuka ' wa MWANAMUME Rais Dkt. Magufuli.
Shida: Dawa mahospitalini hamna, mikopo kwa wanavyuo shida, Ajira hakuna, Mishahara kwa watumishi imecheleweshwa miezi sasa, Teaching aids zero natamani kuendelea ila nawaachia wadau wengine
 
Mbona nyie mlivyomchagua kikwete akaharibu nchi hamkuwa wawazi kusema mmechagua Bomu.acheni njaa nafasi zote zimeshajazwa.
 
Sura yake ya ' huzuni ' aliyokuwa nayo wakati anasema huo ukweli wake ulitosha tu kuwa ' ushahidi ' kamili kuwa amejutia kitendo cha kutompigia ' kura ' Rais Dkt. Magufuli mwaka jana. Je ulikuwa unataka ushahidi gani tena? Hivi na Wewe nikikuambia kuwa leta ' Ushahidi ' hapa kama ni kweli Mgombea wenu Edward Lowassa alijipigia ' kura ' mwenyewe unaweza kuuleta? Kwani kuna ' tetesi ' au za chini ya ' kapeti ' pia kuwa Lowassa japo alikuwa anautaka Urais ila kwa Mapenzi na Imani yake kwa Magufuli alimpigia ' Kura ' badala ya kujipigia yeye mwenyewe.


Mawazo na akili za kitoto hizo sasa. Rudi kasome tena hoja yangu. Na ukiweza mwambie huyo mchovu asubiri 2020 ampigie kura JPM na aende na simu kisha apige picha kadi yake ya kura kwa kumbukumbu kabisa.
 
Ndg gentamycine mbona sijaona sehemu jamaa kasifia chama chetu pendwa cha ccm? Yeye kamsifia mheshimiwa rais kwa utendaji wake which is not bad and he is not the first opposition's fun to declare the same. Jamaa yuko sawa kwa baadhi ya mambo ni kweli Mheshimiwa rais ndani ya mwaka moja kafanya Mengi mazuri na mengine si mazuri (kama ni kwa asilimia mazuri yanaweza kulingana na asilia alizoshinda nazo urais kwa mtizamo wangu). lakini kusema ndg EDO asingefanya hivyo ni upotoshaji mkubwa na usiokubalika, maana naye angefanya mazuri kwa upande anaoona unafaa kwa mtizamo wake maana kama nchi hatuna sera na dira za kudumu za maendeleo . Mwingine anazungumza viwanda mwingine Elimu, sasa kama edo angeweza kusomesha vijana wote bure akasitisha ajira kwa muda na kununua ndege wenye mtizamo wake wangeona kafanya makubwa zaidi na wangesema Magu asingeweza kufanya hayo.
MIMI Nampongeza Rais kwa hatua za kuthibiti rushwa, utumishi holela na safari zisizo na tija kwa nchi , ila kama angeruhusu uhuru wa mawazo, akakubali kukosolewa, bunge kuwa huru kama enzi za mkwere na wapinzani kuwa huru kufanya siasa popote BILA KUVUNJA SHERIA ZA NCHI basi Magu angekuwa The best President after the late JKN.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] YAMEWAKUTA
 
Back
Top Bottom