Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Faudhia.

Hii ni baada ya kuweka mahusiano yao private kwa miaka mingi sana.

 
Naona nyingi zikishaingia vidoleni zinapata hadi kutu, wadada wa3 nawafahamu mwaka wa sita huu

Sijui kwanini
Mbona hiyo kawaida tu, wengi mitaani wanaishi kitu kinachoitwa na Kanisa katoliki uchumba sugu.

Tofauti yake ni kwamba wengi wanaishi kinyumba bila hata kuvishana pete japo wanazaa watoto wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…