Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Kill;
Kama imetengenezwa basi hayo ni yake na mbaya wake ila zipo nyingi anaonekana kujibalagaza na hayo makitu. Ukizoea mwisho wake ndo huo. Kubandikwa magazetini, si waona ni sifa???
Huenda wanamtaka mkewe
inauma sana mkuu nimeona post yake FB salim kikeke amelaani sana hicho kitendo cha kuthalilisha
 
Ha ha ha..nadhani jamaa amepaniki tu mbona mi picha nzuri tu
 
inauma sana mkuu nimeona post yake FB salim kikeke amelaani sana hicho kitendo cha kuthalilisha

Kill;
Simchukii Kikeke ila najua kitu moya tu, hata mbwa mwizi hulia saana anapokamatiwa kwa kona. Kilio chake hisikika mtaa wa pili.
Ajiulize kwa nini wamtaje huko kwenye huo uchafuuuu
 
Kill;
Simchukii Kikeke ila najua kitu moya tu, hata mbwa mwizi hulia saana anapokamatiwa kwa kona. Kilio chake hisikika mtaa wa pili.
Ajiulize kwa nini wamtaje huko kwenye huo uchafuuuu
ni njama za wahuni wachache tuu kumuharibia jina
 
Kiwake wapi bana sema mke wake nae anatafuta atoke vipi manake wengi hatumjui hiyo kazi anayofanya mumewe anaweza piga picha na mtu awaye yote manake yupo kazini kama vipi amfumngie mgongoni mumewe atembee nae tujue anajuwa kupenda wizi mtupu.

Shida ni kwanini adindishe?
 
Kill;
Tena sana na haswa ukimkumbatia halafu ukadindisha kama alivyo fanya kwenye hiyo picha

Basi watakuwa weengi tu weshafanyiwa hayo makitu manake wazungu wanapenda sana hiyo salamu ya namna hiyo.
 
asante mdau kama ulikua akilini kwangu,nimeanza msikia huyu mbaba tangu niko mdogo na nilikua napenda msikiliza,lakini sasa na hizi facebook zake ananifanya nisimchukulie kama awali.halafu bado nashangaa mtu mzima kutumia hivi vitu vya kitoto.ningekua mimi mke wake picha kama ile nisingemruhusu aweke kwenye mi social midea.ulimbukeni tuuu.na bado utadhalilika sana.

:disapointed:
 

Wewe ni mpuuzi sana, unamjuwa Salim Kikeke wewe? Labda tu nikuingize shule Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza verified user wa Facebook kama sikosei na mimi niko naye Facebook hajawahi hata siku moja kupost upumbavu kama huu wa kwako.

Wanaopenda kumuelewa Kikeke walike wall yake hii halafu pimeni mimi na huyu member nani mkwekali na nani fekelo.
 

Attachments

  • 1418851774492.jpg
    40.4 KB · Views: 310
Kila ufanyalo kuna binadamu anakuvizia akudhalilishe.BTW,mbona naona miraba miwili kushoto na kulia?Tazama vema mkuu.
 
Kwa hiyo kama ingekuwa ni dada yake, then Kiislamu ingekuwa sawa?

Alishakuambia kuwa yeye ni Muislamu safi?

How do you define muislamu safi anayway?

Kitu kidogo tuu tayari mnaingiza udini.

Hivi mkoje nyie Watanzania?

Badala ya watanzania ungeandika Waislam....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…