Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Matola ni kweli alipost FB ..., mie ni mmoja kati ya niliolike page zake FB

Unabisha hadi kwenye vitu vya ukweli Mpwa
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume pesa Kenge wewe, Wasira ana sura gani? Wewe unaweza kugombea demu na Wasira wakati mwenzako ana mipesa kibao unadhani warembo wanahitaji mwanaume mrembo?

Mh! Sina Hamu Ya Kuichuchuja
Kwani Uzito Wake Utatoboa Chujio!!
 
Hii yawezatokea kwa mwanaume yeyote rijali, hasa wale wasiokuwa na tabia ya kurambaramba maana yake wenye ukame
 
Atakosa raha maskini
saaaalim vumilia yatapita tutasahau
 
Huo ni upepo, angalia suruali ni nyepesi sana so imeinuka upande wa mbele
 

Huyu jamaa angekuwa mtumia daladala lazima angekuwa bonge la dungadunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…