Mtangazaji BBC, Salim Kikeke kadhalilishwa vibaya mtandaoni

Acha mahaba wewe kikeke kapost hiyo picha mwenyewe hata mi nilishangaa kuiona lkn nikaipotezea. Mshkaji alichemka sana. Kama unampenda sana mwambie aache huo ujana uliopitiliza na abaki kutupa updates za EPL kwenye wall yake
 
tena wewe utakuwa muhusika ni kwa sababu wewe hujulikani ndo maana unaandika upumbavu humu
Acha matusi bwana mdogo, au na wewe umeshaanza kupakatwa kama wenzio? Leta ushahidi acha kupaparika kama umekatwa kichwa!
 
Mwanaume pesa Kenge wewe, Wasira ana sura gani? Wewe unaweza kugombea demu na Wasira wakati mwenzako ana mipesa kibao unadhani warembo wanahitaji mwanaume mrembo?

Sawa mkubwa! sasa sijajua umepaniki nini?:becky:
 
Acha matusi bwana mdogo, au na wewe umeshaanza kupakatwa kama wenzio? Leta ushahidi acha kupaparika kama umekatwa kichwa!
mbona povu limekutoka sana tulia dawa ikuingie vizuri acha mapepe
 
Acha mahaba wewe kikeke kapost hiyo picha mwenyewe hata mi nilishangaa kuiona lkn nikaipotezea. Mshkaji alichemka sana. Kama unampenda sana mwambie aache huo ujana uliopitiliza na abaki kutupa updates za EPL kwenye wall yake
acha kupotosha hii picha imetengenezwa na wahuni wachache
 
Nadindisha sehemu maalumu na kwa tukio maalumu.....

Tukio maalum varies from one man to another.

Unaweza kudindisha kwa kuona mapaja yake, lakini mwingine akiona tuu lips za mdomo wake kwisha.
 
Futa kauli yako watanzania hatuna udini

Sifuti kauli. Watanzania wengi ni wadini, huo ndo ukweli wenyewe hata kama hutaki kusikia.

ukabila na udini unaendeshwa na ccm

Kwani hao CCM siyo Watanzania?

Last edited by a moderator:
Mwanaume pesa Kenge wewe, Wasira ana sura gani? Wewe unaweza kugombea demu na Wasira wakati mwenzako ana mipesa kibao unadhani warembo wanahitaji mwanaume mrembo?

View attachment 212137
Fredrick Samuel.?
hawa wazee wetu wanauliza Mbona toka umeondoka nyumbani mpaka leo Zile pesa hujarudisha?
Hujui km Umetuacha na hali ngumu sana kuondoka na mtaji wote wa mzee?
Nimeamua kuweka Picha kabisa ili labda roho yako Irudi fredrick.
Halafu unaamua kujiita Matola kwa nini?

We unafahamu Mama kahifadhiwa tu na huyu bwana. Na hali yakw inakuwa mbaya Kila siku Unavyozidi kuchelewa kuzirudisha hizo pesa.

Naskia Unakula Mirungi kila siku na Kina FAHMI mwarabu .
Mimi km ni ndugu yako nakuomba rudisha huo mtaji wa baba wa shs 600,000 uliokwiba. Maisha yanazidi kuwa magumu mno hapa nyumbani.
Nakuomba sana.
Halafu mwanao SAMIRA umemuacha hapa Sinza hana hata ada ya shule. Umezaa na mwanamke mitaani hata hajulikani mamake yuko wapi. Na juu ya kuwa mwanao yuko hapa lkn pesa umeondoka nazo.
Chondechonde rudisha pesa. Acha kujikweza na jasho la mzee.

Wako kakako mpendwa Samuel
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh sa mbona kushoto nakulia kote kama kumetuna....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…