EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Hairuhusiwi kwa yule ambaye si mke wako. hata kama unapeana mkono hakikisha kiganja chake kimefunikwa kwa nguo/kanga au gloves.
Ni wachache sana huwa wanafanya hivyo.
Mie nilikuwa sijui hayo, mpaka siku moja Mpakistani mwanamke (classmate na rafiki yangu) akiwa na mume wake Mpakistani aliyekuja kutoka Pakistani kumtembelea chuoni.
Nikamsalimia mume wake kwa kumshika mkono; wakati nataka pia kumshika mkewe mkono, mumewe akagoma.
Lakini mkewe akiwa mwenyewe nilikuwa namshika mkono let alone kugongeana mikono sana tuu wakati tunacheka.
Na wakati tunagongeana mikono yake ilikuwa haijafunikwa kwa nguo/kanga au gloves.