Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una adabu,,,huwezi ita mange mpaka da mange ni kwa mange tu au nasisi??Duuu kumbe Da Mange kasema basi ni marufuku kupinga .... sasa wote tuseme ni kweli kabisa Hassan kasimamishwa kazi....asitokee mtu wa kumpinga Da MANGE maana yeye ndio huongea ukweli kwa kila jambo.........
Eti ndio chanzo cha habari.Mange kasema.
Leta kanusho kwakuleta udhibitisho unaoonyesha Hasan Ngoma bado anaendesha kipindi kama kawaida ili watu wawe upande wako wewe mpingaji.Duuu kumbe Da Mange kasema basi ni marufuku kupinga .... sasa wote tuseme ni kweli kabisa Hassan kasimamishwa kazi....asitokee mtu wa kumpinga Da MANGE maana yeye ndio huongea ukweli kwa kila jambo.........
Mlitaka vyombo vyake vya habari vifungiwe?? Heri mmoja kufukuzwa kuliko 10 kupoteza ajira
Rudia kusoma thread utaelewa.Cjaelewa kafanya nn
Aende radio UKAWAHii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?
Sio kweli hajafukuzwa ni uzushi tu samsasali anasema atakuwepo jumatatu na waziri wa viwanda
sawaAende radio UKAWA
Acha uzwazwa kapigwa stop tokea majuzi yamebumburuka sababu yakupigwa stop ni kudiscuss issue ya lisu while wamekatazwa watu wamemblast ruge na clouds ndo uyo Sam akajilete na iyo news kufunika what happened
sababu ya kibaiolojia au sioKatumia tu lugha ya Kidiplomasia kukuambia hivyo Mkuu. Ukiona amerudi hiyo Jumatatu kama ulivyoambiwa basi jua pengine ule msamaha alioombewa na Wenzake ( Sam Sasali) nae akiwemo basi umekubalika na Boss Ruge. Kitakachomsaidia tu Hassan Ngoma kurudi hapo ni kwasababu yupo karibu sana na Babie Kabae ambaye ndiyo Mtangazaji mwenye ' ushawishi ' mkubwa sana kwa Mabosi wote na Management nzima ya CMG kutokana tu na sababu moja ' Nyeti ' ambayo kwa sasa nisingependa kuiweka hadharani na naomba niishie tu hapa tafadhali.
Cjaelewa kafanya nn
Kabwigwa ki kwetu ni ka uharoacheni ubabaishaji Hassan ngoja kusimamishwa nayo Ni breaking news?be serious dude!