Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mkuu huyu Hassan alikuwa na kejeli sana dhidu ya Lissu na upinzani kwa ujumla, kama ni kweli mimi napongezaHii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?
kama ndio hivyo basi ni sawa, Muda mwingine inabidi siasa aweke pembeni abaki kwenye misingi ya utangazajiMkuu huyu Hassan alikuwa na kejeli sana dhidu ya Lissu na upinzani kwa ujumla, kama ni kweli mimi napongeza
Radio habari njema !Hivi north pole wana redio inaitwaje vilee.....
Ha ha haaaa, hiyo anafaa aisee..Radio habari njema !
H a ha ha.Saint Ivuga njoo huku kuna kitu 'da Mange kaongea.
Kumbe ni kaka yake?
Sababu yenyewe ni hiyo NYETI.Katumia tu lugha ya Kidiplomasia kukuambia hivyo Mkuu. Ukiona amerudi hiyo Jumatatu kama ulivyoambiwa basi jua pengine ule msamaha alioombewa na Wenzake ( Sam Sasali) nae akiwemo basi umekubalika na Boss Ruge. Kitakachomsaidia tu Hassan Ngoma kurudi hapo ni kwasababu yupo karibu sana na Babie Kabae ambaye ndiyo Mtangazaji mwenye ' ushawishi ' mkubwa sana kwa Mabosi wote na Management nzima ya CMG kutokana tu na sababu moja ' Nyeti ' ambayo kwa sasa nisingependa kuiweka hadharani na naomba niishie tu hapa tafadhali.
Hii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?
.....akaacha upande wa mashetani !Upande wa Ruge kuanzia sasa hauna shaka.. amechagua upande wa udhalimu
Mdogo wangu Le Mutuz,tuliza korodani hzo acha kupiga kelele mwlm (Mange) yupo darasani...,otherwise jina lako litaingia kwenye orodha ya wapiga kelele!Duuu kumbe Da Mange kasema basi ni marufuku kupinga .... sasa wote tuseme ni kweli kabisa Hassan kasimamishwa kazi....asitokee mtu wa kumpinga Da MANGE maana yeye ndio huongea ukweli kwa kila jambo.........
Ok sawaOna anapokea tu habari hata huulizi uhalisia wake ushaaanza Clouds wanatumika. Mnajitekenya mnacheka. Mleteni Dereva tu. Lissu Ni mtanzania kwenye uzima wa Mtu hata wewe usiyetumia akili unapopokea jambo ukaangalia side B na mtoa hoja mwenyewe. Una haki ya kuishi ila acha upumbavu. We Sio Roboti.