Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Mtangazaji Clouds TV afukuzwa kwa kutangaza habari za Tundu Lisu

Duuuhh yamemkuta mambo, ila sijafurahia yeye asimamishwe kazi
 
Mkuu huyu Hassan alikuwa na kejeli sana dhidu ya Lissu na upinzani kwa ujumla, kama ni kweli mimi napongeza
kama ndio hivyo basi ni sawa, Muda mwingine inabidi siasa aweke pembeni abaki kwenye misingi ya utangazaji
 
Kufukuzwa kazi vs KUSIMAMISHWA KAZI...mkuu uongo sio jambo zuri
 
Ruge kafanya safi sana. Najua huyu dogo Hassan lazima atakua akioonda pasipo kuzingatia maadili. Hakuna jambo positive analoweza akaongea huyu juu ya Lissu. Huyo Mange muwe mnajaribu kuzifanyia processing taarifa zake badla ya kuzimeza kama zilivyo.
Huyo Hassan Ngoma ni kweli amesimamishwa lakini haiwezi ikawa eti ni sababu ya kuchambua afta ya Lissu bali ni sababu ya kukashifu mgonjwa. Ruge si mwehu kufikia hatua hiyo.
 
Katumia tu lugha ya Kidiplomasia kukuambia hivyo Mkuu. Ukiona amerudi hiyo Jumatatu kama ulivyoambiwa basi jua pengine ule msamaha alioombewa na Wenzake ( Sam Sasali) nae akiwemo basi umekubalika na Boss Ruge. Kitakachomsaidia tu Hassan Ngoma kurudi hapo ni kwasababu yupo karibu sana na Babie Kabae ambaye ndiyo Mtangazaji mwenye ' ushawishi ' mkubwa sana kwa Mabosi wote na Management nzima ya CMG kutokana tu na sababu moja ' Nyeti ' ambayo kwa sasa nisingependa kuiweka hadharani na naomba niishie tu hapa tafadhali.
Sababu yenyewe ni hiyo NYETI.
 
Hii ni hatari aisee yaani kutangaza hali ya afya ya Tundu Lissu inamsimamisha mtu kazi?? Vipi Clouds wanatumika?

Ona anapokea tu habari hata huulizi uhalisia wake ushaaanza Clouds wanatumika. Mnajitekenya mnacheka. Mleteni Dereva tu. Lissu Ni mtanzania kwenye uzima wa Mtu hata wewe usiyetumia akili unapopokea jambo ukaangalia side B na mtoa hoja mwenyewe. Una haki ya kuishi ila acha upumbavu. We Sio Roboti.
 
Duuu kumbe Da Mange kasema basi ni marufuku kupinga .... sasa wote tuseme ni kweli kabisa Hassan kasimamishwa kazi....asitokee mtu wa kumpinga Da MANGE maana yeye ndio huongea ukweli kwa kila jambo.........
Mdogo wangu Le Mutuz,tuliza korodani hzo acha kupiga kelele mwlm (Mange) yupo darasani...,otherwise jina lako litaingia kwenye orodha ya wapiga kelele!
 
hahahaha, wanaanza kufarakana, chezea kipindi favourite cha mzee nini
 
Tusilaumu tunataka yeye mwenyewe athibitishe vi ginevyo utakuwa niuongo labda wanamambo yao mengine.
 
Ona anapokea tu habari hata huulizi uhalisia wake ushaaanza Clouds wanatumika. Mnajitekenya mnacheka. Mleteni Dereva tu. Lissu Ni mtanzania kwenye uzima wa Mtu hata wewe usiyetumia akili unapopokea jambo ukaangalia side B na mtoa hoja mwenyewe. Una haki ya kuishi ila acha upumbavu. We Sio Roboti.
Ok sawa
 
Sipendeleagi sana uchambuzi wa hassan ngoma,

ila kama ni kweli sina haja ya kuendelea kusikiliza/kuangalia hiyo Tv
 
Back
Top Bottom