KabisaKweli kabisa, mtu aliyepoteza mtu wake wa karibu kwenye maandamano akikubali pongezi za serikali ni unafiki mkubwa
Kaka mara ya mwisho tulipotezana kaka ulipewa ban.Mbona sijaelewa hiko kipindi na pia namuona Farhan kihamu amekaa kama anatolewa posa anaogopa hata kuzungumza lolote .
Tanganyika where are you my Nigga simama tena vizazi vifurahie uwepo wako
Nimemsikiliza asubuhi, kasema kabisa yeye kama yeye kwenye sifa hizo za serekali hazitaki. Ameamua kuwa mkweli na sio kuwa mnafiki. Atawezaje kuzungumza lugha tofauti na iliyopo kwenye jamii? Nimempongeza sana mtangazaji huyo, kwa uthubutu wa hali ya juu. Ifahamike huyu pia aliwahi kuonyesha msimamo wa ukweli wakati wa Magufuli hadi kituo hicho kufungiwa. Watangazaji wengi wakionyesha kusimamia ukweli hata serekali itajitathimini.Kweli kabisa, mtu aliyepoteza mtu wake wa karibu kwenye maandamano akikubali pongezi za serikali ni unafiki mkubwa
Kaka ni kweli ban ilinihusu .Kaka mara ya mwisho tulipotezana kaka ulipewa ban.
Upo powa ndugu yangu
Nipo powa naendelea vyema kakaKaka ni kweli ban ilinihusu .
Niko poa aisee sijui wewe uko ?
Ujue hata kama nyumba yenu ni ya chawa wa CCM, lakini mkishauliwa ndugu yenu kazima mbadilike.Wakuu,
Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?"
Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za kutishatisha, kuwasaliti Watanzania, bwana hizo salamu hazimuhusu, na waache unafiki.
Anasema kama isingekuwa habari hiyo isingesababisha chombo chao kifunguwe angeifanya kazi bila unafiki!
Kipande hicho cha mazungumzo yao kimeondolewa kwenye kurasa za Clouds, hawataki shida jamani, wasije kupigwa pini bure!
Kwakifupi ni kuwa hata waandishi wakati huu
View attachment 3506820
Pamoja brotherNipo powa naendelea vyema kaka
Ivii @min_me yupo wapi simpati kabisa..?!Pamoja brother
Nakusalimia mzima wewe..Wanafiki tu