MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mh mkuu ephen_ mpaka kukutag nilijua fika una taarifa zake naona unanicheka kwenye komenti ,hapo nimeelewa jambo .Hayawezi kumpitia yupo zake kwa Trump
Mpe salamu zangu ikiwa mnawasiliana ila mwambie anicheki hata PM mwenzie nawaza kukimbia muda wowote hivyo anaweza kunipa hifadhi huko alipo .
Ahsante