Kwani Clouds bado ya Kusaga? Nilisikia kuwa wahuni walishamnunua kabla ya uchaguzi? Nana ana tarifa sahihi atujuze?Ujue hata kama nyumba yenu ni ya chawa wa CCM, lakini mkishauliwa ndugu yenu kazima mbadilike.
CCM imejitengenezea upinzani mkubwa.
Clouds FM radio ya Jiseph Kusaga ni machawq wa CCM.
Mpaka ukisikia machawa wa CCM wanasema hivi ujue wanaugulia kuuawa mwenzao.
Dah! Itakuwa kweli. Haya, tuendelee kuombea Taifa haki na amaniKwanza kabisa mimi si binadamu.
Pili, sijabadilisha kuandika wewe ndiye hujanielewa tu.
Ukisema kwa kupora uchaguzi ni umewapendelea!Hilo nililitarajia. Hakuna chombo cha habari cha ndani kinaruhusiwa kuripoti nje ya matakwa ya serekali iliyoingia madarakani kwa kupora uchaguzi.
Nani mkuuHuyo jamaa naona yuko against sana na serikali..hata kipnd anakamatwa Hence aliongea kwa ku mind sanaa..soon watamtoa
Muendesha kipndNani mkuu
DuhMuendesha kipnd
Alisema kama polic wamehusika kumkamata kwa nini wasikir na wataje kituo alichokamatwa?ile saut yake ilikuwa na tone ya hasira ..ndo nligundua kuna waandish kwel hawafurahii yanayoendelea ila ndo ivo wamejaza maji mdomon hawwez kuongea
Huyo tayari yuko kwenye radar ya MafweleHuyo Sam Sasali atafute kazi nyingine ya kufanya. Itagundulika hana ithibati soon!