Mtangazaji Didah Shaibu amejiunga na Wasafi FM

Tukutane j3 mambo yote hadharani kwani kwa dida ilikuwaje, vijana tumeamua
 
Kwani kusoma bei gan mkuu miez 6 tu unaua maisha yanasonga watasoma wakiwa kazini mbona eze tu mkuu relax
Miezi sita? Labda kama unachukua kozi ya cherehani sawa miezi sita.

Ila maswala haya ya uandishi wa habari na utangazaji,Certificate 1 year,Diploma 2yrs na 3yrs degree.

Jifunze kuheshimu fani za watu,usizani rahisi kama ufikiriavyo ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…