Mtangazaji Farhia Middle wa Radio One: Wanawake ambao hawapendi kuwa na Mahusiano ( date ) na Wazee hawana Akili kabisa

Mtangazaji Farhia Middle wa Radio One, kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya soon. Take my note​

Wenye Akili na Maono kwa jinsi anavyohangaika na Kujitahidi Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa 'Kumpostiposti' kila mara katika Instagram Account yake huku akimpamba na Kumsifu tulishajua nini anakitafuta huko Serikalini.

Na wengine mpaka Mkubwa Mmoja anayemhangaikia kumfanyia 'lobbying' kwa Mama na Watu wa Jumba jeupe la Magogoni na kule Chamwino tunamjua.
 
Sasa mbona kada yao wengi huwa ni form four failures au six failures?!

Au ndio ilimradi ajue kusoma na kuandika tu ?!

Nchi hii maendeleo yatakuja Kwa namna gani ?
 
Yeye Farhia mzee wake aliye na mahusiano naye ana miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza.
 
We taarifa umezipata wapi au ww ndio unamuhangaikia huko Serikali, Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…