TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema walikuwa mwendo wa kawaida ila kuna gari ilikuwa ina overtake kutokea mbele yao ktk harakati za kuikwepa kuepuka kugongana uso kwa uso wakaingia mtaroni na wote yeye na dereva wake walikuwa wamelewa na ndan ya gari kulipatikana chupa zingine za pombe zilizokuwa zinanywika na mashuhuda waliofika kuwaokoa wanasema marehemu alikaa siti ya nyuma na hakuwa amevaa mkanda. RIP...sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea[emoji120]
Hivi alirushwa nje ya gari ?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Apumzike kwa amani. Na amezaa na sister angu jamani. Bibi Happy joseph. Yuko china. Sijui ataweza kwenda zika kibosho?
Duh! Kumbe, huyu bibi ni mdau wetu sana kule fb, kwa uandishi wake anaonekana ana akili nyingi sana huyu dada.
 
Sanya juu huko Hai Kilimanjaro
Sanya juu siyo Hai mkuu ni wilaya ya Siha.
Hai ni jimbo la Freeman Mbowe na Siha ni jimbo la Aggrey Mwanri ila ni wilaya jirani. Na huko wanatoka wachaga tofauti, Hai wako wamachame, siha wako wasiha. Wachaga wa siha ni wapole ila Hai ni wakorofi km Ole Sabaya tu[emoji16]
Note: Mimi siyo mchaga ila nimeishi Sanya juu ktk kusaka life so km wewe ni mchaga na nimekuudhi kwa komenti hii natanguliza kumradhi.
Majina ya Mbowe na Mwanri nimeyatumia ili kurahisisha uelewa tu maana wabunge wa sasa siyo maarufu, naona watu wengi hawaifahamu wilaya ya Siha.
 
Back
Top Bottom