King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Apumzike kwa amani. Na amezaa na sister angu jamani. Bibi Happy joseph. Yuko china. Sijui ataweza kwenda zika kibosho?
Kumbe Bibi Happy Joseph alizaa na Frere Edouard(Fredwaa)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apumzike kwa amani. Na amezaa na sister angu jamani. Bibi Happy joseph. Yuko china. Sijui ataweza kwenda zika kibosho?
Sanya juu, HaiNi mwenyeji wa wapi huyu?
Yes.Kumbe Bibi Happy Joseph alizaa na Frere Edouard(Fredwaa)?
Yes.
Mtafia humuuAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Yes. Na hatoweza kuja kuzika mzazi meenzakeNilikuwa sijui ila namuona sana bibi na wachina ,ila ni mwandishi mzuri sana wa makala za kufikirisha.
Kwa Marehemu Gambe ( Pombe ) siyo Jambo la Kuuliza huenda akazikwa nazo pia kama Mbili Tatu hivi.Mbna ameonekana akiwa na kina dj venture na t.i.d Kama vile walikuwa wanapiga gambe kwa kwenda mbele
Kwahiyo kwa Lugha nyepesi na iliyonyooka hapa unataka Kusemaje labda Mkuu kwani naona ni kama vile unazunguka sana.Sijawahi mwona Rahabu hata kwa picha,pamoja na kumsikiliza sn
Muwe mnakuwa Wasikivu Mamlaka zikitoa Taarifa zao ili msiwe mnatuchosa tu kwa Kukuruouka Kwenu.Bro lifestyle zetu ndo zinatumaliza.....kamanda wa polisi amesema alikuwa amelewa gari likamshinda
Dogo kuwa mkakamavu wewe ni mwanaume. Mwanaume hutakiwi kuhuzunishwa na vitu vidogo dogo visivyokuwa na mantiki kama kifo.I'm deeply saddened.....
😭😭😭😭😭
RIP...
Gone foreverr..!!!