TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Dahhhh.....
Pombe alie itengeneza hakuwa na nia mbaya
 
Pombe ni mvinyo, hata iliruhusiwa huku tunapo kusanyika kwa ibada...🤗
 
I'm deeply saddened.....

😭😭😭😭😭
RIP...
Gone foreverr..!!!
 
Bro lifestyle zetu ndo zinatumaliza.....kamanda wa polisi amesema alikuwa amelewa gari likamshinda
Muwe mnakuwa Wasikivu Mamlaka zikitoa Taarifa zao ili msiwe mnatuchosa tu kwa Kukuruouka Kwenu.

Kamanda wa Polisi katika Taarifa iliyosikika vyema kabisa alisema Chanzo cha Ajali ile ni Dereva wake ' Fredwaa ' kuwa amelewa ' chakari ' na sasa Wanamshikilia kwa Mahojiano zaidi.
 
Back
Top Bottom