TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Mbna ameonekana akiwa na kina dj venture na t.i.d Kama vile walikuwa wanapiga gambe kwa kwenda mbele
 
Pumzika salama Fred,Pole nyingi sana kwa Rahabu jamanii inauma sana kumpoteza mpendwa wako ghafla.Kifo hakina huruma.Eeh Mungu tupe mwisho mema.
Sijawahi mwona Rahabu hata kwa picha,pamoja na kumsikiliza sn
 
Kwa hiyo kutoka jana jioni mpaka leo amelalia kitanda cha baridi...!!!?
duh maisha haya !!!!
alitoka asubuhi kwake salama kabisa na chai akanywa kwa matarajio ya kurudi kwa mkewe jioni.....
wakuu tumuombe Mungu jamani maisha ni mafupi sana....
 
Inaonekana alipokuwa Radio Free Afrika ndio alitamba sana kuliko alipohamia Clouds. Maana naona wote wanamkumbuka tu kwa sifa Za free Afrika.
Binafsi alipotoka FREE AFRICA sikujua, ndio maana hata comment yangu ya kwanza nliwapa pole FREE AFRICA.

Clouds Radio ni "junk" meadia, inasikilizwa na wanaopenda habari za umbea na zisizo na maana, za kufumaniwa, kubakwa, na habari a muziki ila FREE AFRIKA kuna mengi ya kujifunza ndio maana alipohama wengi hawakujua alipo na alipotea kabisa maskioni mwa watu.
Hapo unaweza ukfanya utafiti wako na kujua kabisa kipi ni chombo cha wana-nchi.
 
Back
Top Bottom