TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Jamaa kakunja kona kwa speed mara kajikuta kwenye mtaro. Nature ya round about ya Kawe siyo ya kuzunguka kichwa kichwa maana barabara imelalia upande wa nje wa radius ya centre. Ukifanya ufala wa speed unajikuta mtaroni ama kule kwenye jengo walilopanga E-FM kama unatokea upande wa Kawe.

Round About ya kawe Mtaro Mkubwa mbona siuoni pale? Maana Infotech , Apartment za Mungai hakuna mtaro wowote mkubwa wa kuzama gari,labda pale malingo mbele kuna korongo kubwa sana magari huwa yanadumbukia sana.
 
Hivi inakuwaje watu mnachanganya vitu hivi?..Fredwaa hajawahi kutangaza na kina Gadna..alikuwa PB around saa 11- 01 asubuhi.
Anamconfuse na George Bantu. Hao ndio wabongo Mkuu Misinformation ndio kawaida yao!
 
Sindano Tano za moto akiwa RFA. Poleni sana wadau.
 
R.I.P Fredwaa.
Kiukweli nilikuwa shabiki wake hasa akiwa RFA. Na kila siku nilikuwa natamani arudi RFA kwakuwa alisimama vyema sana. Nimeguswa sana [emoji25][emoji24][emoji24]
 
Dah namkumbuka sana mwamba akiwa RFA mwanza enzi hizo wapo na malehem peter omary deo kiduduye prence baina kamkulu na Zm Zubery musabaha akaja kumuoa mtangazaji mwenzake Rahabu ufungo Rip mwamba
 
Back
Top Bottom