Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakuachana...kifo ndio kimewatenganishaHivi waliachana na Rahabu Fredy?
Huko ni kukata Tamas ya maisha. Kama unashindwa kufuata sheria za barabarani au kushindwa kufuata ushauri wa kitatibibu unategemea nini.jiulize kwanini ulaya Kuna kazi za kutunza wazeeAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Nilisikiaga kuwa jamaa anapenda sana sana ulabu[emoji848][emoji848]Nasikia jamaa yeye na dereva wake walikua wamelewa
Yes ni mkeweUnamanisha rahab fred ? Wa rfa
😭😭Hawakuachana...kifo ndio kimewatenganisha
Bia Lager FM.Ni wa kituo gani?
Na ndiyo Kamrithisha Mdogo wake ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi wa Chuo Kimoja cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam kinaanzia na herufi T.Nilisikiaga kuwa jamaa anapenda sana sana ulabu[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Joji anasauti nzuri ila anajiweka jiweka kama teenagerKuna joji bantu, lwambano..dah
Hata hvyo bado mtoto hafaiJoji anasauti nzuri ila anajiweka jiweka kama teenager
Na sehemu aliyopatia Ajali na Kufia eneo la Msonge mpaka Tanganyika Packers kila Mwaka lazima Mtu afe kwa Ajali. Inasemekana kuna Mdudu.O. M .G[emoji134][emoji134][emoji134][emoji22][emoji22]
I loved this guy na ule muungurumo wa sauti + jokes zake kwenye pindi lake[emoji22][emoji22][emoji24]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Fredy na sky walker plus Sandu GeorgeKanda ya ziwa kulikua na watangazaji wenye vipaji vya hali ya juu.
Kamrithisha ulevi?Na ndiyo Kamrithisha Mdogo wake ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi wa Chuo Kimoja cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam kinaanzia na herufi T.