TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Feduwaa r.I.p


[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jamaa alikuwa anatuchelewesha shuleni miaka ya 2000. Tulikuwa tunafika shuleni karibu na muda wa mapumziko kwa ajili ya kipindi chake cha asubuhi.
Apumzike kwa amani.

Ulikuwa bhana. Please edit[emoji3][emoji3][emoji3]
 
R. I. P, nakumbuka enzi hizo yuko rfa m niko sekondari huko mbeya alikuwa akigonga sana bongo fleva kwenye kipindi chake cha asubuhi, enzi hizo wanaharakati kama Hawa walisapoti Sana mziki huu kukua halafu wengine watoto wa juzi wanakuambia eti bila wao mziki huu usingekuwa mkubwa,hawajui kina fredwaa walikuwa watu wachache sana walofanya kila waloweza kuupaisha mziki huu. Pumzika kwa amani brother
 
Nimeumia sana, namkumbuka kwenye Sindano tano za moto

Apumzike panapomstahili
 
Huyu jamaa alikuwa bonge la mtangazaji, hususani enzi zile yuko RFA.
Japo umauti umemkuta akifanya kazi Clouds, na siku za usoni alikuwa hasikiki kwenye kile kipindi cha Power Breakfast.
Hakika sisi sote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.
 
Back
Top Bottom