TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Rest well Fred
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Nimecheka kwa nguvu hapa mpaka watu wameniangalia, hapo kwenye nje ya radius ya centre. Ngoja nishuke kituo kinachofuata kaka maana nauli yangu imeisha. 😀😀😀
Screenshot_20210612-191921_Samsung Internet.jpg

Nilikuwa namaanisha hivi mkuu. Sema kiswahili ni kigumu mno kwangu kwenye mambo ya kitaalam.
 
I real miss his vibe alipokuwa Radio Free Africa hasa kipindi chake maarufu cha Sindano 5 za Moto na VODACOM that were the days.

Huyu na wenzao akina Kidbway, Glory Robinson, Jumaa Ahmed Baragaza, Roy Maganga, Rahabu Fred n.k waliifanya RFA iwe redio pendwa sana kwa wasikilizaji wengi.

Mungu ampe pumziko la Milele Fred, soon or later will join him in his Journey

Pole nyingi Sana kwa Mkewe Rahabu na Watoto, Mungu awape roho ya Ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu wanachopitia. Sote Duniani tunapita, ni saa na wakati tunatofautiana.

Rest in peace Fredwaaa 😭😭😭😭
 
Nimecheka kwa nguvu hapa mpaka watu wameniangalia, hapo kwenye nje ya radius ya centre. Ngoja nishuke kituo kinachofuata kaka maana nauli yangu imeisha. 😀😀😀
Screenshot_20210612-191844_Samsung Internet.jpg

Nyingine hiyo hapo. Haya mambo lazima mtu ajue. Gari kukunja kona kwa speed kali kama curve haipo vizuri basi kujikuta nje ya control ya centripetal force ni kama kumsukuma mlevi yani!
 
Alitamba Sana akiwa RFA kuliko clouds...clouds alikuwa anajiita energy man alikuwa anadamka asabuhi saa kumi na moja kwenye power breakfast clouds kabla ya akina babla kuingia....kipindi hiki alikuwa kimya ghafla..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sorry, caution. Halafu gari ikiwa spidi sana usilazimishe Kona ya ghafla. Kama hali inaruhusu nyoosha moja kwa moja huku umekanyaga break.
Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)
 
Apumzike kwa amani, nilipenda kumsikiliza alipokuwa RFA, vipindi vyake vilikuwa haviboi, alikuwa vizuri.
 
Back
Top Bottom