JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hii Dunia hii,kama ulizaliwa lazima uondoke tu siku ikifika,Swala ni kwa njia gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakudadavuaTaga yupi kakusababishia ajali?
Yule huwa nampa za moto tu.Wakudadavua
Ngoja na mimi nianze kumlia timingYule huwa nampa za moto tu.
Mzee wa "huu ni ungwana.. la hasha huu si ungwana"..Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
😂😂😂 Yule ni Ke kwakweli ningemmalizia hasira.🤣🤣🤣! Angekuwa demu ungemtafuta tu ukamalizia hasira kunako😶
🤣🤣🤣😂😂😂 Yule ni Ke kwakweli ningemmalizia hasira.
Loo fredwaa kafa!!!!! Aiseee ametamba sana pawer breakfast akiwa na combination ya masoud kipanya na babra hasan.Alikuwa Clouds nilikuwa namsikia kipindi chao cha jion na Gadna ..R.I.P.
Kwakweli hata mm sijawahi kumsikia kipindi chochote clouds tofauti na pbHivi inakuwaje watu mnachanganya vitu hivi?..Fredwaa hajawahi kutangaza na kina Gadna..alikuwa PB around saa 11- 01 asubuhi.
No atakuwa amemchanganya na paul james( PJ)Umechanganya na George Bantu nadhani.
Wakudadavua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!Jamaa alikuwa anatuchelewesha shuleni miaka ya 2000. Tulikuwa tunafika shuleni karibu na muda wa mapumziko kwa ajili ya kipindi chake cha asubuhi.
Apumzike kwa amani.