TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Ngoja na mimi nianze kumlia timing
Tatizo bavicha mmejaa ujinga mwingi na hamtaki kusikia maoni ya watu wengine yani mnataka tuwe kama tupo kwenye magroup yenu ya bavicha.

Mtu akikuchalange unakimbilia mitusi. Namna hii mtapigwa ban sana tu.
 
Niwatonye kidogo.

Nilirundika pesa, nilizokuwa nikipewa za kununulia chai shuleni ili nimiliki redio niweze kuwasikia fred waa, Zuberi msabaha aka Laki sita volt,

Nilifanikiwa lakini leo wewe umetangulia

Rest Easy brother.!

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mkuu watmshikaji zangu wengi walikuwa wanataka lazima wamiliki redio kwa ajili tu ya Fred na Zuberi Msabaha.

Rfa ilikuwa ukianza kusikiliza haichoshi.
Ikifika saa saba kila mtu ana tune rfa kwa ajili ya DW
 
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.

Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?

Daaaaa chalii yangu sana asee..
Siamini jamani nitamkumbuka kwa kipindi chake RFA cha je?? Huu ni ungwana?? Laa hasha huu sii uungwanaa!!!
Khaaaa nenda broo tutaonana baadae
 
Jamaa alikuwa speed sana labda alikuwa anawahi kipindi alipotaka kukata kona eneo la round about ya Kawe gari ikashindwa ku overcome anti-centripetal force akajikuta mtaroni. Nadhani unaelewa mambo ya circular motion kwenye physics.
Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)
 
Mkuu sasa hapa umenieleza hiyo ajali ilivyotokea, au umenirudisha kwenye somo la physics kupitia msiba wa ferdwaa? Acha nikubali tu kuwa hiyo anti-centripetal force ndio imemuaa, lakini haya maelezo yako sio poa kabisa😂😂🙆.
 
Marehemu alipokuwa mawingu hakuachiwa uhuru wa kutamba kama alivyokuwa RFA, Mawingu walishindwa kutumia kipaji chake

Nadhani hivyo, ila na yeye alifuata nini sehemu aliyofunikwa?
 
Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)
Mkuu wakandarasi wa siku hizi round abouts nyingie ama kona hawaziwekei "curve towards centre" ili kurahisisha gari kukunja kona kirahisi hivyo ukijifanya mwamba wa speed unajikuta out of radius control. Angalia mfano round about ya Kawe ipo flat kabisa. Yani sijui hawakusoma circular motion!
 
Mkuu sasa hapa umenieleza hiyo ajali ilivyotokea, au umenirudisha kwenye somo la physics kupitia msiba wa ferdwaa? Acha nikubali tu kuwa hiyo anti-centripetal force ndio imemuaa, lakini haya maelezo yako sio poa kabisa😂😂🙆.
Jamaa kakunja kona kwa speed mara kajikuta kwenye mtaro. Nature ya round about ya Kawe siyo ya kuzunguka kichwa kichwa maana barabara imelalia upande wa nje wa radius ya centre. Ukifanya ufala wa speed unajikuta mtaroni ama kule kwenye jengo walilopanga E-FM kama unatokea upande wa Kawe.
 
Nimecheka kwa nguvu hapa mpaka watu wameniangalia, hapo kwenye nje ya radius ya centre. Ngoja nishuke kituo kinachofuata kaka maana nauli yangu imeisha. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom